Dalali mkazi wa Dar, ninakatenda Kadogo unisaidie

Moviez Tz

Member
Nov 18, 2023
87
66
Nilikua nauliza kama naweza pata Chumba maeneo ya upanga, posta au eneo lolote Karibu na chuo cha CBE. Kwa Tsh.100,000/Mwezi. Kama ikiwa ngumu, Basi Fremu yenye sehem ya Biashara na kachumba kadogo kwa ndani ambapo naweza lala

Nichek 0749220083
 
Basi uko vizuri, kama ungeweza kulipa chumba Cha laki 3 kwa mwezi mmoja sasa unashindwaje kuzoea hizo nauli ambayo hata laki 1 haifiki kwa mwezi
Sijasema nimeshidwa nauli, kiongozi uchovu, maswala ya kwenda na kurudi sio mchezo, wengine hapa wavivu. Weh! Nipe icho chumb cha laki3 niishi, hela nazo c zinatafutwa
 
Sijasema nimeshidwa nauli, kiongozi uchovu, maswala ya kwenda na kurudi sio mchezo, wengine hapa wavivu. Weh! Nipe icho chumb cha laki3 niishi, hela nazo c zinatafutwa
Naona kuna kitu hakipo sawa kidogo!!
Wewe ni ke au me?
 
Kaa Kimara kijana mwendo ulio kasi hapo chap tuu, kuna watu enzi hizo tulikuwa tuna kaa nao kwa Urassa Kigamboni na wanasoma CBE Kijana kaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom