Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuhakikisha kuwa unapata haki yako stahiki. Hapa kuna miongozo kadhaa:
Thibitisha Malipo:Hakikisha kuwa unapokea malipo yote kama ilivyokubaliwa kwenye makubaliano ya fidia. Angalia kwa makini kiasi cha...
Vizuri kabla ya kununua kiwanja au shamba ukawashirikisha wataalam, mbona mkinunua magari mnatafuta mafundi? uanogopa kutoa Tsh 50,000 wakati unatapeliwa milion 10?
Karibuni Danvast Land and Property kwa Huduma ya kuhakiki eneo unalotaka kununua kabla hujatapeliwa tutakusaidia kufanya uchunguzi...
(fungu la 24 - 30)
UTANGULIZI
Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki inaweza kuwa kwenye mojawapo ya makundi yafuatayo kwa maeneo ya mijini hapa Tanzania.
Ardhi inayotolewa...
Ingawa umeeleza sio kwa undani sana,
kuna maswali ya kujiulizakabla ya kwenda kokote
1. Je una hati miliki?
2. Je wakati unauziwa ulijiridhisha yeye ndio mmliki?
3. Je kuna viashiria kuwa huyo ndugu alikutapeli na hakuwa mwenye eneo?
Kumbuka ukiuziwa eneo kwa kutapeliwa haimanishi wew ndio una...
Je eneo lako limeshapimwa? Kama bad, mtaalamu wetu atafika na kufanya ukaguzi wa mwanzoni, ikiwa n pamoja na kujua kama pana mchoro wa mipango miji au laa, atafika na GPS.
Halafu tutakushauri hatua za kufanya.
Wasiliana nasi kwa 0742991105 au 0678880578 kwa ushauri zaidi.
Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani.
Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa na masharti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Hapa kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.