kumiliki ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Je, unajua hati yako ya kumiliki ardhi inaweza batilishwa akapewa mwingine?

    Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa na masharti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Hapa kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
  2. J

    Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  3. Zakaria Maseke

    Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  4. sky soldier

    Suala la ardhi halimo kwenye Muungano, Zanzibar wapo makini kulinda ardhi yao lakini wametuzidi akili kuimiliki ardhi ya bara

    Kwenye katiba ya Tanzania hakuna sehemu iliyohusisha ardhi kwenye muungano, Ardhi ya Tanzania bara ni kwajili ya raia wake na ardhi ya Zanzibar ni ya raia wake. Hatuna budi kuwapongeza wazanzibari maana hawana mchezo kwenye kulitekeleza hili kwa kulinda ardhi yao iwe kwajili yao, Lakini sasa...
  5. NostradamusEstrademe

    Asiye raia wa Tanzania lakini alizaliwa Tanzania anaweza kumiliki ardhi?

    Naomba adm msiiweke kule kwenye jukwaa la sheria kwanza ila kila mtu atoe mawazo yake kwanza. Kuna babu mmoja watoto wake wa kiume wote aliojaliwa wako Marekani zaidi ya miaka20 sasa. Walizaliwa Tanzania lakini wakahamia Marekani japo mara kwa mara wanakuja kumuona babu yao. Kwa kuzaliwa...
  6. aleesha

    Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

    Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo. Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo...
  7. R

    Sheria ya Uhamiaji: Nahitaji kupata nyaraka gani kuishi na kumiliki ardhi Tanzania kama mgeni?

    Habari ndugu? 1. Ni vitambulisho gani vinavyotakiwa kupata kwenye ofisi ya uhamiaji vitakavyoniwezesha kuishi Tanzania kwa amani na usalama kama mgeni (kutoka USA)? 2. Nifanyeje ili nipate uwanja na kujenga nyumba bila shida nchini Tanzania kama mgeni (immigrant)?
  8. Leak

    Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
Back
Top Bottom