real estate

  1. Aliko Musa

    Bagamoyo Real Estate Workshop Namba 1

    Bagamoyo Real Estate Workshop Namba 1 Utangulizi wa programu. Programu hii ya FURSA ZA ARDHI/MAJENGO (Real Estate Workshop) zimelenga kwenye mambo makuu matatu (3). Mambo yenyewe ni: ✓ Moja; kujenga uwezo kwa mwekezaji kutafuta taarifa, koneksheni, maarifa na uzoefu wa sehemu anapowekeza...
  2. Mwl.RCT

    Real Estate Money Maze: Escaping Broke, Building Fortune

    Introduction: Are you ready to take control of your financial future? Real estate investing offers a path to success, but it's not without its challenges. Let's navigate the money maze and learn how to escape broke and build a fortune through smart real estate strategies. The Power of Passive...
  3. Aliko Musa

    Kinondoni Real Estate Workshop Namba 1

    District Real Estate Workshop ni kozi maalumu kwa wanachama wa makundi yetu ya TZ REAL ESTATE TEAM (TRT) kwa ajili ya kuchambua taarifa na maarifa kuangazia fursa zipatikanazo katika wilaya husika. Siri ya kukutana na bahati ya fursa kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo inatokana na uelewa wa...
  4. D

    Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, ufanye nini cha kuzingatia?

    Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuhakikisha kuwa unapata haki yako stahiki. Hapa kuna miongozo kadhaa: Thibitisha Malipo:Hakikisha kuwa unapokea malipo yote kama ilivyokubaliwa kwenye makubaliano ya fidia. Angalia kwa makini kiasi cha...
  5. Aliko Musa

    Karibu Kwenye Programu Iitwayo Mbeya Real Estate Workshop Namba 01

    Tutakayojifunza: (A) Sehemu Ya Kwanza; Kuhusu Taarifa Tatu (3). ✓ Lengo kuu la programu. ✓ Shabaha/Fokasi ya programu ya leo. ✓ Chanzo cha taaarifa. ✓ Ufafanuzi wa Fokasi ya programu. ✓ Sababu za uwepo wa fursa kwa kila taarifa. (B) Sehemu Ya Pili: Kuhusu Fokasi Ya Programu ✓ Maana ya...
  6. Aliko Musa

    Uchaguzi Wa Masoko Mahalia (Local Real Estate Markets)

    Utangulizi Soko mahalia ni jumla ya shughuli za kununua na kuuza viwanja, mashamba na majengo ndani ya eneo husika. Soko mahalia la wilaya ya Mbeya mjini hutofautiana na wilaya yoyote iliyo nyanda za juu kusini. Soko mahalia kwenye wilaya moja ni tofauti kabisa na soko mahalia kutoka wilaya...
  7. sky soldier

    Hawa wajasiriamali maarufu chini ya miaka 30 wanapoteleaga wapi kibiashara wakishavuka miaka 30?

    Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30 Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo...
  8. M

    Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo ya viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na ununuzi na uuzaji wa viwanja, tathmini na urasimishaji wa ardhi. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu katika kazi za mauzo na masoko wa miradi ya viwanja kuchangamkia nafasi hizi. Sifa -Uwezo mzuri...
  9. M

    Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo wa viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na uuzaji wa viwanja vya makazi na biashara. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu wa mauzo na masoko katika miradi ya viwanja na mashamba kuomba nafasi husika. Sifa -Uwezo mzuri wa kuongea na...
  10. M

    Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo wa viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na utoaji wa mafunzo ya udereva, uuzaji wa viwanja, huduma za usafi na upulizaji wa dawa. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu nafasi za afisa mauzo na masoko wa miradi ya viwanja, mashamba na nyumba...
  11. Jamii Opportunities

    Manager Facility & Real Estate at CCBRT

    Vacancy: MANAGER FACILITY & REAL ESTATE Ref: 2022-38 Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in Africa and serves as healthcare social enterprise and through development programmes in the community...
  12. J

    Site gani yenye traffic kubwa kutangaza real estate?

    Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)... Noamba kwa mwenye kujua tafadhari....
  13. Aliko Musa

    KITABU #2.02; Successful Real Estate Investing (Kuwekeza Kwenye Majengo Kwa Mafanikio Na Robert Shemin)

    Kwenye uchambuzi unaofuata nitakuwa nakushirikisha makosa matatu (3) au zaidi kila siku. Kitabu hiki hakina sura, hivyo nitakushirikisha namba za makosa hadi kufikie kosa la 75 kwenye kitabu hiki. KOSA #01; Kutokuanza Kuwekeza Mapema Kwenye Ardhi Na Majengo. Hili ni kosa kubwa sana ambalo...
  14. Abdul Ghafur

    Fursa ya Ubia kwenye Real Estate Development na Construction.

    *Fursa ya biashara kwa ubia (joint venture) * Abraar Bricks Nyumba kwa wote, Kumejitojeza fursa ya kibiashara ambayo inahitaji active partners wa kuingia nao makubaliano ya kibiashara (joint ventures). Yeyote kati ya hawa hapa chini wanaokidhi vigezo tuwasiliane; 1) Upo kwenye fani ya...
  15. Tz boy 4tino

    Best cities for real estate Investment

    What is a Real Estate Investment ?, Benefits of a Real Estate Investment , Best Cities for Real Estate Investment..
  16. Z

    Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

    Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia kweny kujiajiri wew kam ww unaweza kupiga issue kam zipi.Nawasilisha hoja kwenu wadau n mm ndio...
  17. The Evil Genius

    Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

    Biashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU. Kwa wakazi wa Dar es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua...
  18. B

    Real estate broker

    Biashara ya kupanga nyumba na kupangisha nyumba imeendelea kuwa na changamoto kadri siku zinavyoenda. Nyakisasa Empire Ltd imejaribu kuja na mbinu ambayo itapunguza kero kwa wapangaji na wenye Nyumba. Tunatoa form ambayo mpangaji atatujazia kuelezea mahitaji yake,pia tunaingia mikataba na wenye...
  19. Z

    Partners sekta ya tools, real estate, ujenzi

    Habari, Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi. Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya: - Kupandisha mtaji - Kutafuta viwanja - Kutafuta wateja - Kuajiri wafanyakazi - Kufanya taratibu zote za serikali. Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe...
  20. Danfordkahwa

    Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

    Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
Back
Top Bottom