Search results

  1. M

    Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    wanyamwezi family pande za tegeta. mpiga kinanda kamongo manjarino, alikuwa anapiga kinanda hata bendi ya jaguar. sasa hivi ni teja choka mbaya. anapiga debe stendi ya tgt kariakoo. muimbaji chipukizi dogo mau, naye ni teja na pia ni pusha pande za tgt. sheshi junior a k a kapita naye ni hivyo...
  2. M

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    ahsante. lakini nahc kama haujajibu vizuri suali langu
  3. M

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    labda unisaidie nini0tofauti kt ya nchi ya ahadi na nchi ya asili.? Yakobo alipompiga mungu, huyu mungu alimuambia kuanzia leo taifa lako litaitwa israel. Kabla ya hapo hilo taifa lilikuwa linaitwaje?
  4. M

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    biblia inalitambua taifa la palestina wafilist, hao ni wapalestina
  5. M

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Icc isisahu israel inaikalia kimabavu ardhi palestina. Marekani imejimilikisha kimabavu jimbo la texas ililolikwapua toka mexico.
  6. M

    Mfahamu ‘black mamba’ na historia ya Tanzania

    Simulizi tamu lakini fupi
  7. M

    Wafahamu Wavuvi hawa Mashuhuri waliokuwepo kwe Noti ya Shilingi Mia Mbili

    mzee MOHAMEDI. naomba nikuambie jambo moja. kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi tuliyozaliwa darusalaam, na wale waliyokuja darusalaam. maneno na majibu kama hayo utayapata kwa wale waliyokuja darusalaam. sisi tuliyozaliwa na kukulia jijini darusalaam tunayajua na tumeyashuhudia mengi katika...
  8. M

    Mitambo ya IPTL imeibiwa na jengo kubaki Gofu. Iliwekwa rehani na Herbinder Seth

    MIMI NI MKAZI WA TEGETA HILO JAMBO NI KWELI LINAFANYIKA. WANAIBA VYUMA NA MALI TOFAUTI ZA KIWANDA. TUNASHUHUDIA PKPK NA MAGARI ZIKITOKA NA VYUMA IPTL.
  9. M

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    kwani naye ni miongoni?
  10. M

    Mjadala huru kuhusu Afrika ilipotoka, ilipo na inapoelekea

    mbezi beach sehemu gani tupe ramani kamili
  11. M

    Wana Kawe hapa tulipoteza sana, tusirudie makosa

    wewe bila shaka ni mwana tegeta mwenzangu?
  12. M

    Wabunge wa majimbo haya hawawajibiki…

    hilo libunge la kawe gwajima. mimi sitaki hata kulisikia. halina impact yoyooote, bora lirudi kanisani kwake kuendeleza na uongo wake wa ufufuo na uzima. nitashangaa sana kama 25 ataukwaa tena ubunge
  13. M

    Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

    mada tamu, lakini hajapatikana mwanazuoni aliyekomaa akatupa iliym tukafaidika,
  14. M

    Ubora wa simu za mkopo

    ahsante kwa maelezo ya kina
Back
Top Bottom