MJOMBA CHAKA
Member
- Oct 22, 2022
- 89
- 69
Naomba kuuliza. Hivi hizi simu zinazokopeshwa na tigo, zina ubora kiasi gani? Samsung a04
Akili babuKuna wanazo kopesha lakini ubara wake wakawaida sana
Alafu simu kununua cash 390,000
Marejesho yote ukilipa ni 700,000
So almost 50% interest yaani unalipa marambii ya gharama ya kununulia cash
Inabaki kama box ulilotoa chupa ya chai!.Ukiingia nayo mitini itakuaje
Kivipi mzeeukishindwa kulipa ondoa camera tu mchezo kwishney
Mbona hii ni ndogo sanaMfano samsung A04e cash ni 280,000
mkopo ni 8100 kwa wiki kwa wiki 52.
Kianzio ni 75,000.
Ukipiga mahesabu unakuta umelipia zaidi au 491,000 hadi umalize.
Ndogo 490,000 wakati cash ni 280,000!Mbona hii ni ndogo sana
Unachukua simu kabisa. ila huwezi kuitumia hadi ulipie tena. kama ni kwa siku kila siku unalazimika kulipia ili ifunguke.unapata simu baadae
Kimeo kiaje mkuu fafanua ninataka kuinunua hiyoKwanza Simu yenyewe A04 kimeo, mara mia jichange mwenyewe Tafuta simu nzuri.
Ni simu ambayo haina nguvu na ina specification za Kizamani.Kimeo kiaje mkuu fafanua ninataka kuinunua hiyo