Lema kasema ugali ni chakula cha masikini. Hajui kwamba ugali kwa jamii fulani za Tanzania ndicho chakula kikuu

Ila huko Ulaya na marekani wana kula Pop Corn kwenye cinema hall si ndio?

Achana na stori za vijiweni sometimes tumia akili yako Mkuu, au Pop Corn zinatengenezwa na karanga huko Ulaya na Marekani unaposema hawali mahindi.

Sio pop corn tu huko wanakula sana tu mahindi yakukaanga na maziwa sema tu wanayafanyia packaging hujui.
Wanakula ila sio kama chakula kikuu. Ulaya mtu anaweza kula popcorn mara moja kwa wiki. Huku kwetu mtu unakula ugali siku saba tena mara mbili au tatu kwa siku kwa nini akili isidumae?
 
Ninavyopenda ugali
Heri uninyonge kuliko kuninyima ugali.
Vyakula vingine vipo,ila ugali ni 1st choice.
So unataka kusema tatizo lako limetokana na kula ugali? Au hata hujui kama una tatizo sehemu?
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Haya ndio matatizo ya kuwakaribisha watu wenye background za uhuni katika mifumo ya kisiasa ili na wao washiriki.

Mtu anahistoria ya umalaya, udangaji, mvuta bangi, uasherati, na tabia zingine ambazo si za kimaadili, then mnategemea mtu huyu akipewa platform ya siasa aje kuwa tofauti.

Tanzania hatujifunzi aisee. Bungeni mnapeleka kila mtu mradi yeye kataka kugombea na kama wanajamii hatuweki standards, imagine leo hadi shilole anataka kuingia katika siasa kisa maarufu, hivi unategemea nini katika utungaji wa sheria za inchi kama wizara ya ustawi wa jamii huyu atachangia nini?

Mnaona matokeo ya kuweka watu wa hovyo leo wanapitisha sheria kuwa mtoto wa kike anazaa kisha anarudi shuleni kujichanganya na wenzake halafu tunategemea taifa liwe na watoto wa kike wanaojitambua.

Upumbavu unavuka kiwango.
Sasa mtu kama jiwe alipitishwa kuwa Rais wewe unashangaa Shilole
 
Nikusahihishe kidogo pamoja na kusema vizuri sana,"Hatuli ili tuwe matajiri au maskini bali tunakula ili tuishi."Mengi pamoja na utajiri wake alikiacha chakula siyo kwa kupenda bali ilimlazimu na sasa yuko kaburini,kama chakula ingekuwa utajiri Mengi angekuwepo mpaka leo akiufurahia utajiri wake na chakula cha kitajiri.
Hakika kabisa !!
 
Msukuma hata kama ni tajiri ugali ni lazima uwepo mezani. Kwetu unaweza ukawa na vyakula vyoooote ila kama huna unga bado tunahesabu huna chakula. Lema vipi! Labda umepiga viroba.
Kama mnakula sana ugali basi jua ndiyo chanzo cha kuzaliwa mtu kama wewe
 
Hata Lema asingesema, bado ukweli ni kuwa ugali ni chakula cha kimasikini, na kwa kiwango kikubwa watu wanaokula ugali sana hawana akili. Pitia kwenye vitabu vitakatifu utaona chakula kinachozungumzwa ni ngano na sio mahindi, maana mahindi ni chakula cha wanyama. Tazama mataifa yote yenye watu wenye akili, ngano ndio chakula chako kikuu na sio mahindi.
Watu weusi HAMNA AKILI.

Acheni kusingizia UGALI mara MWENGE.

Kuna WATU weusi JAMAICA, MAREKANI, UINGEREZA mpaka USWISI.

Hawali UGALI na bado HAWANA AKILI.
 
Back
Top Bottom