Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 850
- 1,595
Sema sio wavivu ni wajanja ukishalipwa unasubiri nini tena shambani wakati wewe shida yako ni hela.Mwekezaji wa Shamba kubwa la alizeti huko Ikungi Singida amemwambia Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongolo kwamba Vijana wa eneo hilo ni Wavivu sana
Mwekezaji amesema hulipa ujira wa tsh 10,000 kwa siku so kwa wiki kibarua anapata 50,000 sasa hawa Vijana wa Ikungi wakishalipwa wanapotea hadi waishiwe
Hivyo imlazimu mwekezaji huyo awe anaagiza Wasukuma kutoka Mwanza ambao ni wachapakazi kweli kweli
Source ITV habari