Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,532
- 2,480
Haya mavyama yote yanatengenezwa na chama......Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.
Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’? Uzuri hata mwandishi (Mmiliki wa gazeti) anajua Chama changu, ni suala la muda tu. Kama ingekuwa kutambua zuri la wengine ni ‘kunyatia’ basi tuna wanyatiaji’ wengi sana nchi hii.
View attachment 2525791