MJOMBA CHAKA
Member
- Oct 22, 2022
- 89
- 69
biblia inalitambua taifa la palestina wafilist, hao ni wapalestinai
le ardhi ni ya waisrael kila mtu anajua duniani hatuna taifa la Palestina
biblia inalitambua taifa la palestina wafilist, hao ni wapalestinai
le ardhi ni ya waisrael kila mtu anajua duniani hatuna taifa la Palestina
Usinishambulie,Mimi hiyo nimeinukuu kutoka kwenye source!Do u think and believe that writing in a foreign language will make ur point more meaningful? We andika tu kiswahili utaeleweka mzee. Kutumia lugha ya kigeni ni kuwabagua au kuwaweka pembeni baadhi ya wenzetu humu jukwaani ili wasiweze kuchangia.
Hatujasema ni kiwango gani cha Elimu kinatakiwa ili Hoja iwe na mashiko. Mbona hata PhD holders wanaweza kuongea utumbo?
Tuvute subira kidogo kitaeleweka. Usijekushangaa game linaisha kilaini Putin akiwa amehifadhiwa kwenye sefu mahali fulani.Apo n kuchezea sharubu za simba mkuu Apa unaongelea mbabe wa dunia Putin Nani huyo mwenye ubavu huo wa kumkamata
Hayo unawaza wewe kwa mtu jasusi mkubwa kama putin anajua walipokimbilia kujifichia kupunguza haibu wala hawezi kua na presha hiyo ni hadaa tu kwa dunia ili waonekane wana sautiNi shida aisee kwani wamemwondolea kinga. Maana yake kwa sasa Putin hana Immunity tena. Yani CD4 zimeshuka chini kabisa ya kiwango.Ugonjwa wowote, hijack, assassination na watu wake watamwepuka au kumsaliti bila kikwazo, personaly kisaikolojia atakuwa na wasiwasi mkubwa zaidi juu ya uhai wake - Atakosa muda wa kufikiria vita. Anaweza kupatwa na kiharusi, shinikizo la damu, moyo au kukimbilia mafichoni kwa usalama zaidi n.k.
Safi sana je hiyo biblia ilikuelezea nini kuhusu vita ya muisrael na mfilist kipindi Israel wanaingia ndani ya nchi yao ya ahadi 🤠🤠🤠biblia inalitambua taifa la palestina wafilist, hao ni wapalestina
Hizo n ndoto mkuu embu jaribu kuangalia historia ya Putin na urussiTuvute subira kidogo kitaeleweka. Usijekushangaa game linaisha kilaini Putin akiwa amehifadhiwa kwenye sefu mahali fulani.
Wamagharibi wanatumia adaa kwenye vyombo vya habari kuwadaa walimwengu na wamewapata wasiojielewaUS na Russia wote sio wanachama wa ICC.
Mwanzoni watu walikuwa wanalalamika hii mahakama ni kwa ajili ya marais wa Afrika. Baada ya rais wa Urusi kutakiwa kukamatwa, watu wameanza kukimbilia vichaka vipya.Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika ya uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.
View attachment 2555625
Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."
Tatizo hawana Meno ya Kumkamata viongozi Kama Putin.Mwanzoni watu walikuwa wanalalamika hii mahakama ni kwa ajili ya marais wa Afrika. Baada ya rais wa Urusi kutakiwa kukamatwa, watu wameanza kukimbilia vichaka vipya.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
labda unisaidie nini0tofauti kt ya nchi ya ahadi na nchi ya asili.? Yakobo alipompiga mungu, huyu mungu alimuambia kuanzia leo taifa lako litaitwa israel. Kabla ya hapo hilo taifa lilikuwa linaitwaje?Safi sana je hiyo biblia ilikuelezea nini kuhusu vita ya muisrael na mfilist kipindi Israel wanaingia ndani ya nchi yao ya ahadi 🤠🤠🤠
haijawai kuwa mwanachamaHahaha urusi kashaanza mchakato wa kujitoa kwenye hiyo mahakama uchwara.
Wafinye Nuclear kama wanauwezo. Hii kitu mwisho wake ni WW3 amini kwamba.Urusi amekamatwa pabaya hapo anawalinzj wengi zaid ya mwanzo wenzie ulaya hawana hata stress wanamuangalia akijigamba huku wakiendelea kumfinya kidogo kidogo west acha wale jamaa sio mchezo wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji aiseee Mwisho wa Urusi
Swala ni nani atakayemkamata,maana nasikia jamaa ni Komando...Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.
View attachment 2555625
Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."
Nakumbuka walipotaka kumgusa usa kuhusu AfghanistanIcc nao wapuuzi tu hawana jipya!! Wana nyavu za kuvua vidagaa tu, big fish hawatawaweza
Subiri akamatwe ndio uongeeMwanzoni watu walikuwa wanalalamika hii mahakama ni kwa ajili ya marais wa Afrika. Baada ya rais wa Urusi kutakiwa kukamatwa, watu wameanza kukimbilia vichaka vipya.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ok nitajaribu kukufafanulia licha ya kuwa unaweza tafuta bibli ukasoma maana zipo hadi play store....labda unisaidie nini0tofauti kt ya nchi ya ahadi na nchi ya asili.? Yakobo alipompiga mungu, huyu mungu alimuambia kuanzia leo taifa lako litaitwa israel. Kabla ya hapo hilo taifa lilikuwa linaitwaje?
Vita part two wanawapa mwanya magenerali wa kirusi kupindua Russia kwa kumkamata kuwa wasipate shida wakimpindua kuwa wampeleke wapi ni the Hague
Hadi hilo tamko kutolewa ina maana assessment ya vita inaonyesha mwelekeo mzuri wa Putin kuchokwa ndani ya Russia kwenye inner circle za chama tawala na jeshi
Urusi sio member wala Ukraine sio member wa hiyo mahakama!Hahaha urusi kashaanza mchakato wa kujitoa kwenye hiyo mahakama uchwara.