Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.

=====

Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.

View attachment 2555625

Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."
Haya!
 
Mkuu; Hakuna cha WW3. eneo la mapigano (frontline) itakuwa wapi? Urusi ndiye anayepigana na Mataifa hayo ambapo kwa sasa au hivi punde watakuwa ndani ya nchi ya Urusi. Akijichanganya basi atabomoa miundombinu yake mwenyewe, ataua raia wake mwenyewe yani atajiangamiza mwenyewe. Ni kama tuseme nyuki amepenyeza na kuingia ndani ya shati lako. Huwezi kumpiga au kumwua bila kujipiga kibao/kofi ww mwenyewe. Mrusi ameshasogezwa hadi kwenye kona. Ana shida ya Silaha, Askari, Mamluki wake ameshapishana nao (hawako tena in good terms), kuna askari wanagoma kuingia vitani, kuna vitendo vya hujuma vinavyo fanywa na makundi hasidi ndani ya Urussi. tTuseme tu kwamba kiukweli Putin inavyoelekea ana wakati mgumu sana.
Hakuna WW3 unafikiri Putin atakubali akamatwe na kudhalilishwa kama Sadam Hussein au Gadafi 🤣🤣🤣!
Kita happen.
 
Ni shida aisee kwani wamemwondolea kinga. Maana yake kwa sasa Putin hana Immunity tena. Yani CD4 zimeshuka chini kabisa ya kiwango.Ugonjwa wowote, hijack, assassination na watu wake watamwepuka au kumsaliti bila kikwazo, personaly kisaikolojia atakuwa na wasiwasi mkubwa zaidi juu ya uhai wake - Atakosa muda wa kufikiria vita. Anaweza kupatwa na kiharusi, shinikizo la damu, moyo au kukimbilia mafichoni kwa usalama zaidi n.k.
Teh mrusi mwenyewe anawashangaa maana hio mahakama hata haimhusu
 
Hakuna WW3 unafikiri Putin atakubali akamatwe na kudhalilishwa kama Sadam Hussein au Gadafi 🤣🤣🤣!
Kita happen.
Unajua inapotokea kwamba umetuhumiwa kwa jambo baya halafu na ukawa unatafutwa ukamatwe ili upelekwe mbele ya Shera ukajibu Tuhuma(Sio hoja), inakuwa kama umepigwa Laana fulani hv. Mambo yako na mipango yako inakuwa haiendi tena vizuri. Hili unaweza kuliona vizuri linapokuwa ngazi ya Jamii kwamba kuna mtu ana RB yako na unafuatiliwa na Polisi au hata mgambo tu Inakuwa kama balaa fulani hivi. Unakosa amani rohoni mwako na unaona kama watu wote sio wema tena kwako.
 
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.

=====

Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.

View attachment 2555625

Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."
Kazi sasa ndio imeanza ukisha wekewa hati ya kukamatwa maana yake huna thamani ktk jamii na Taifa lako. Wachambuzi wa mambo wanasema Putin. Mwenyewe anajuwa siku zake zipo ukingoni kama all Dictator.

Tayari hata watu wake wakaribu wanajuwa sasa hiki ni kimavi na akitoka yeye na sisi lazima tuumie je tuumie wote na Taifa au tumtoe kafara. Bila shaka watamtoa kafara. Let us keep monitoring
 
Ok nitajaribu kukufafanulia licha ya kuwa unaweza tafuta bibli ukasoma maana zipo hadi play store....

 Hapo awali kulikuwa na mcha Mungu Ibrahim (abraham) siyo taifa, alikuwa na mke wake Sarah aliyefikisha hadi miaka 70 bila mtoto ila mwenyezi akamjalia akapata mtoto Isaka (Isaac), naye akampata watoto Yakobo (Israel) na Essau ndipo Israel ikazaliwa baada ya mchuano unaoufahamu wewe...
ahsante. lakini nahc kama haujajibu vizuri suali langu
 
Back
Top Bottom