Search results

  1. Muccigang

    Kwa mtazamo wangu, Mkataba wa Bandari una faida zaidi

    Habari za muda huu, Niende kwenye kichwa cha thread, naona mkataba wa bandari utakua na faida nying sana mfano Kuongezeka kwa biashara ya Tanzania na nchi zingine Africa, hii na baada ya upanuzi wa bandari na kufanya meli kubwa zaid za mizigo kufika hapa hapa direct itafanya waafrika wengi nchi...
  2. Muccigang

    SoC03 Umuhimu lishe bora kwa afya ya watoto

    Chakula bora ni muhimu kwa afya ya akili ya mtoto. Lishe inayofaa ina jukumu kubwa katika maendeleo ya ubongo wa mtoto, ambao unaweza kuathiri kumbukumbu, umakini, na uwezo wa kufikiri. Chakula bora kinaweza pia kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya akili kama vile unyogovu na ugonjwa wa...
  3. Muccigang

    Afrika we support Russia with what?

    Do we have tanks no! Do we have industry no! Do we have advanced military no! Do we have missile no! Do we have money no! Africa you should mind your own business and focus on economic independence.
  4. Muccigang

    Nilijua ukioa unapewa kila siku

    Za weekend guys, Niende kwenye mada wenye ndoa mbona wanateseka sana yaani unaoa then kupewa mbususu unaanza kuomba tena mara hadi umpe vizawadi sasa mtu unaolewa ili iweje?
  5. Muccigang

    Hivi utajiri mgumu kiasi hiki, mbona naishi kama sufuria

    Habari za muda huu: Niende kwenye mada kabisa hivi mbona mimi kila siku stress za mizigo. Daah, biashara ni ngumu sana yaani. Mwezi huu nafurahi mwezi ujayo naanza stress yaani, hasa hizi za kuagiza nje cargo zinasumbua. Msaada anae jua cargo nzuri nishachoka. Biashara za stress yaani, nawaza...
  6. Muccigang

    Putin kakanyaga pabaya

    Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda...
  7. Muccigang

    Dalili ya kuwa wewe ni maskini

    Katika harakati zangu nilikua naamin mtu ili afanikiwe na asiwe na changamoto lazma apitie magendo waganga n.k hii ilitokana na changamoto nilizo kua napitia kila ninacho fanya napata hasara kumbe maisha n process mambo huwa yanakuja kukaa vizuri. Maskin tuache kuchukia watu walio fanikiwa na...
  8. Muccigang

    Leo nimeamin dark world ni kwa dark people

    Niende kwenye mada Maisha yang yote nimekua nikichunguza mamb haya ya uchawi waganga cha ajab mpaka leo sjawah kuyashuhudia nilienda kwa wataalamu kadhaa lkn kila ukienda mara wanakuambia mungu atasaidia ukitoka matokeo hakuna wanaanza kukwambia vitu huwa vinaenda taratib taratibu miaka na miaka...
  9. Muccigang

    Ukweli wa watu wengi kufilisika

    Habari guys Kuna kitu watu wengi huwa hawakisemi ila kwa utafiti wangu na bado najiuliza kwanini watu huwa hawakisemi kufanya kazi kwa kuaminianaau makubaliano. Unafanya biashara na watu unawapa pesa kisa unawaamnini no contract itakufanya uhisi unamikosi kila siku maana utavuna maumivu na...
  10. Muccigang

    Shetan na majini wamemumbwa na moto halafu kiama wanatupwa tena motoni!

    Eti ndugu waislam wenzangu asalaam Aleykm, Yaani kiumbe kimetengenezwa kwenye moto halafu tena kinarudishwa kwenye moto! Hii adhabu ya moto kwa majini naona haiwezi waumiza chochote. Yaani wao wamepewa uwezo kuliko sisi halafu sehemu ya kuadhibiwa inafanana na sisi viumbe tusio na uwezo mkubwa?!
  11. Muccigang

    Kipi kinaongelewa zaidi dunianI, pesa au sex!

    Niende kwenye swali langi, hivi nini kinazungumziwa zaidi duniani kati ya mapenzi au pesa
  12. Muccigang

    Kwanini muziki ndiyo biashara inayolipa zaidi Duniani?

    Tuendelee direct kwenye mada, Wenye ujuzi na suala la muziki kuwa biashara inayolipa zaidi?
  13. Muccigang

    Kwanini Mungu hana ratiba ya kuja kuongea na binadamu hapa duniani?

    Habarin guys, Najiuliza ikiwa Rais ama viongozi wa duniani wanakuwa wana muda wa kupitia kero za wananchi na hata kuongea nao na kuangalia sheria ambazo zimepitwa na wakati ila Mungu hana huo muda kabisa. Hii inadhihirisha binadamu ni werevu kuliko Mungu? Kama Mungu hana ratiba ya kuja hata...
  14. Muccigang

    Hivi Mungu alisema ukitaka kuandika jina lake uanze na herufi kubwa?

    Kumekucha wana Jf, Najiuliza tu hivi Mungu alisema wapi ukitaka kuandika jina lake uweke herufi kubwa mfano Mungu ukiandika mungu utakosolewa vibaya mno mungu anatetewa na binadamu kuliko anavyojitetea yeye
  15. Muccigang

    Neno Mungu lina nichefua sana mtu akilitaja

    Za kazi wana Jf Yaan nimekua nalichukia neno Mungu mtu akilitaja yaan hata awe anaongea point akiingiza neno MUNGU tu naona ameshaharibu kila kitu kwa sababu kiuhalisia mungu ndo shetan mwenyewe ukiwaza logically
  16. Muccigang

    Wanawake hata kazi wakifanya hela yao huioni sasa maana ya 50/50 wanaidai vipi?

    Morning guys, Lengo la kuandika hii nimepitia uzi mmoja jamaa anasema wanawake hata kazi wakifanya hela yao huioni, sasa maana ya 50/50 wanaidai vipi hawa wanawake? Ili 50/50 iwe applicable wanawake mnatakiwa muanze na nyie kulipa bills za nyumbani kama mwanaume anavyotoa kama ni kodi 50/50...
  17. Muccigang

    Masikini wana muda mwingi wa kuongea kuliko watu wenye pesa

    Habari wadau, Nimefanya uchunguzi na kuona masikini sisi ni watu ambao tuna muda mwingi wa kuongea yaani story sisi haziishi nyumbani utakuta watu wamekaa wanaongea mara kwenye simu mtu anaongea masaa halafu hana ishu ya muhimu ya kuongea marafiki zangu wenye pesa muda mwingi wana kazi yaani...
  18. Muccigang

    Kuna uwezekano mkubwa sisi bora kuliko Mungu

    Hello guys nlikua najiuliza system ya umbaji kila kiumbe kinatengeneza kitu bora kuliko yeye angalia binadam tumeweza kutengeneza gari ndege redio simu vitu vinavo weza kufanya mambo mengi kuliko sisi hivyo hata Mungu huenda ametengeneza binadam ambao tunauwezo kuliko yeye.
  19. Muccigang

    Bima ya afya ya mtoto imeondolewa rasmi

    Habari guys, Hizi tozo sjui znafanya nini. Bima ya toto afya imeondolewa; hivi mama Samia anatonaje? Inapaswa tupate chama kingine kituongoze. CC mimi basi tena.
Back
Top Bottom