Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,314
- 1,941
Hello guys nlikua najiuliza system ya umbaji kila kiumbe kinatengeneza kitu bora kuliko yeye angalia binadam tumeweza kutengeneza gari ndege redio simu vitu vinavo weza kufanya mambo mengi kuliko sisi hivyo hata Mungu huenda ametengeneza binadam ambao tunauwezo kuliko yeye.