Tuta endelea kuisapoti urusi hadi itakapo shinda vita mazimaDo we have tanks no!
Do we have industry no!
Do we have advanced military no!
Do we have missile no!
Do we have money no!
Africa you should mind your own business and focus on economic independence.
Na sapoti urusi na maslahi yakeUna sapoti na nini?
Siku njemaSjasema usaport sehemu
Acha kuendekeza mentality ya utegemezi. Nyinyi ndio mkiwa viongozi mnasaini mikataba ya kipumbavu pumbavu.Matter of fact tunatakiwa tufocus kuchagua taifa la KIBEBERU ambalo litatutumia taratibu kwa upole bila kutuumiza sana
Mnai support with empty hands, are you insane ?Tuta endelea kuisapoti urusi hadi itakapo shinda vita mazima
Moral and rational best wishes.Una sapoti na nini?
Mama samahani kama nimekuuzAcha kuendekeza mentality ya utegemezi. Nyinyi ndio mkiwa viongozi mnasaini mikataba ya kipumbavu pumbavu.
uranium tutamsaport madini tunayo atachimba atengeze makombora ya kutosha
Ni faida kiasi gani Afrika inatengeneza kutokana na kuwauziahao watu hiyo uraniumWanunuzi wa Uranium ya Africa ni Marekani na Ulaya. Russia inachimba Uranium nchini kwake.
Kwa hiyo kuna wajinga mnadhani hapa Russia hakuna mashoga.Unaumia waafrika wakisupport RUSSIA wewe kama umeamua kuwa mmagharibi endelea na jamii yako ya Sodoms and gomors
Ni faida kiasi gani Afrika inatengeneza kutokana na kuwauziahao watu hiyo uranium
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kutokua na make ndo kigezo cha kuwa shoga unaongea Manini mkuu(Putin ana mtoto au Hana)na uliwahi sikia wapi Putin ana support huo ushenzi..Kwa hiyo kuna wajinga mnadhani hapa Russia hakuna mashoga.
Kwa taarifa yako hata Putin hana mke, sasa sijui hizo Christian family values anazozitetea ni zipi.