Search results

  1. U

    Kofia za karume zaanza kuuzwa Uchinani.

    Sijui tuseme ndio urafiki umeshamili au limetokea kwa bahati mbaya. Kwa mara ya kwanza niliona nguo zenye chata ya Tanzania zikiuzwa madukani Uchina ni zile za Kappa. Baada ya muda, nikapita mtaani nikaona wajasiria mali wamefyotoa za kwao ila wamekosea jina, nikasema bora na mimi nijipatie...
  2. U

    'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'!

    Mh Zitto katika update yake ya facebook amefafanua jinsi alivyosikitishwa na habari za baadhi ya magazeti hususan majira. Pia amefafanua na kumaliza ile minong'ono kuwa anajiandaa kugombea uraisi. Katika dokezo hilo Zitto ameandika. "Ona Watanzania na baadhi ya vyombo vya habari. CHADEMA imepata...
  3. U

    Aina tatu za wanawake ambazo manamume hukolea nazo

    Aina tatu za wanawake ambazo manamume hukolea nazo Mimi sio mtaalamu kwa sana ila leo nitawaletea nini ninakijua nanyi mupate kuchangia Mwanamke mcheshi Mwanamke ambaye hupenda kutabasamu(mcheshi) humfanya mwanamme asisite kutaka kuongea naye au hata kutaka mahusiano zaidi. We fikiria wale...
  4. U

    Mchumba wa kukodi

    Kwa mtizamo wa Kitanzania..
  5. U

    Mchumba wa kukodi

    Mwaka mpya wa kichina ndio huo umekaribia, katika jamii ya Wachina kila mchina kwa kadri awezavyo anatakiwa kurudi nyumbani kwake. Katika jamii hii ya Wachina wazazi hujisikia sifa na kumkweza mtoto wao pindi anaporudi nyumbani akiwa na mchumba yake haswaa kama anavutia, ana hela nk. Kitu...
  6. U

    Hamad wa CUF atetea shavu lake

    Mbunge wa Wawi kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF ambaye katika siku za karibu alifukuzwa uanachama na baadae mahakama kuzuia hatua fuatilizi mpaka kesi hiyo itakapokamilishwa leo ameenda mahakamani kuwasilisha hati juu ya kukiukwa kwa maamuzi ya mahakama yanayofanywa na Chama hicho...
  7. U

    Mlimani hapashikiki, mtu kwa mtu

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam(Mlimani) leo wmeandamana kushinikiza uongozi wa Chuo kuwarudisha wenzao waliofukuzwa chuo. Wanafunzi hao huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kumsifu baba wa taifa walilalamikia hatua ya chuo hicho kuwafukuza wenzao wakisema hawataingia madarasani mpaka...
  8. U

    Kariakoo kuwa Guangzhou au Dubai

    Serikali leo imesema ipo kwenye mchakato wa kuigeuza kariakoo kuwa sehemu ya kununulia bidhaa za jumla na rejareja kuwa kama vile Dubai au Guangzhou. Tamko hilo limetolea leo kwenye taarifa habari ya TBC1 kama inavyoonekana kwenye Video hapo chini. Maoni yangu ni kuwa, hili ni wazo zuri...
  9. U

    NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI-Agrey Mwanri aisee huyu jamaa ni kiboko!

    Kwa video ya tukio hilonenda kwenye Channel ya Ughaibuni.com http://www.youtube.com/user/ugaibuni?feature=mhee
  10. U

    Mambo 5 usiyoyajua kuhusu China

    Mkuu stay tuned, tutakuwa tunachambua moja baada la lingine kuhusu maisha na mambo ya Uchinani kwani kwa siku za karibuni namba ya Watanzania wanaohudhuria China imekuwa kubwa mno, kuanzia wanafunzi,wafanyabiashara nk. Kwa msaada wa Ughaibuni.com tutakuwa tunakuletea mengi. Kufuatilia mambo...
  11. U

    Mambo 5 usiyoyajua kuhusu biashara ya Kichina

    Mkuu Dully binafsi sijuhusishi na hizi biashara. BTW ni ngumu kusema nani wa kulaumiwa, ila cha muhimu kwa wafanyabiashara wetu ni kuwa wawazi. Kwa mfano ukienda sokoni mchina anakuambia hii fake na hii nzuri kazi kwako. Bei pia ni tofaauti mno, faida yake ni kuwa hata watu wa kipato kidogo...
  12. U

    Ughaibuni.com, nini kiongezwe,punguzwa au kuboreshwa

    Wakubwa, binafsi ni mgeni kwenye jukwaa hili baada ya kupata utambulisho wa rafiki yangu ambaye ni mchangiaji mzuri wa jukwaa hili(jina kapuni) Sasa leo nakuja na hii tovuti Ughaibuni - Tovuti mahususi inayowakutanisha Watanzania toka pande mbalimbali za dunia. Ni tovuti ya Habari,majadiliano...
  13. U

    Mambo 5 usiyoyajua kuhusu China

    Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisikia neno China China, hili linamaanisha kila kitu, siku za hivi karibuni neno hili limehusishwa sana na ufake,kutodumu nk. Binafsi nikiwa fans wa made in China, iwe kwa kukosa njia nyingine au urahisi ninaweza kusema machache ambayo nadhani yatakuwa na msaada kwa...
  14. U

    Mambo 5 usiyoyajua kuhusu biashara ya Kichina

    Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisikia neno China China, hili linamaanisha kila kitu, siku za hivi karibuni neno hili limehusishwa sana na ufake,kutodumu nk. Binafsi nikiwa fans wa made in China, iwe kwa kukosa njia nyingine au urahisi ninaweza kusema machache ambayo nadhani yatakuwa na msaada kwa...
Back
Top Bottom