Kariakoo kuwa Guangzhou au Dubai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kariakoo kuwa Guangzhou au Dubai

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ugaibuni, Jan 9, 2012.

 1. u

  ugaibuni Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali leo imesema ipo kwenye mchakato wa kuigeuza kariakoo kuwa sehemu ya kununulia bidhaa za jumla na rejareja kuwa kama vile Dubai au Guangzhou. Tamko hilo limetolea leo kwenye taarifa habari ya TBC1 kama inavyoonekana kwenye Video hapo chini.  Maoni yangu ni kuwa, hili ni wazo zuri sana, ila mambo mengi yanatakiwa kufikiriwa kabla ya kulifanikisha hilo. Ikiwemo nishati, uchapakazi na miundo mbinu la sivyo itaishia kuwa ndoto ya mchana.

  Source: Ughaibuni.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...