Kofia za karume zaanza kuuzwa Uchinani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kofia za karume zaanza kuuzwa Uchinani.

Discussion in 'International Forum' started by ugaibuni, Jan 22, 2012.

 1. u

  ugaibuni Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijui tuseme ndio urafiki umeshamili au limetokea kwa bahati mbaya. Kwa mara ya kwanza niliona nguo zenye chata ya Tanzania zikiuzwa madukani Uchina ni zile za Kappa. Baada ya muda, nikapita mtaani nikaona wajasiria mali wamefyotoa za kwao ila wamekosea jina, nikasema bora na mimi nijipatie yangu moja kuonesha uzalendo nikagundua jamaa wamekosea jina, badala ya TanzanIa wao wameandika TanzanLia, ndio hivyo walenga walisema kazi ya mikono....

  [​IMG]
  Upande wa mbele wa kofia ya karume kama ilivyokutwa na mdau wa kidarubini

  Katika sherehe ya muungano tukiwa katika kubadirishana mawazo na mdau wa Blog ya Kidarubini, aliniambia kuwa ameona kofia za karume mtaani, nikadhani ni uzushi kwakuwa mara nyingi tumezoea kupiga matani, akasisitiza na kusema atanitumia picha. Leo asubuhi bila hiyana nimepata picha zikionesha kofia ya Rais mstaafu wa visiwani ikiwa sokoni, tena ni kofia ya kampeni, lol. Sasa swali nnalojiuliza ni imekuwaje hapa, je ni zile zilizobaki wakati wa kampeni? Ila kampeni ilikuwa ni miaka saba iliyopita. Nimekosa jibu hivyo napenda kuwauliza wana Ughaibuni munalionaje hili?
  [​IMG]
  Kofia ya karume ikiwa sokoni, bei ni yuan 10 ambayo ni sawa na shilingi 2600 ya bongo.

  Source: Ughaibuni.com
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Walifikiri watapata wanunuzi wengi?
   
 3. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sio mchezo lol:A S-coffee:
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Labbda wangeandika "TanziaNalia". Tujue moja.
   
 5. m

  masaiti Senior Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Napita
   
 6. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,458
  Likes Received: 3,722
  Trophy Points: 280
  KWANZA KABISA NGOJA NITENGENEZE SCENARIO

  PANASOMEKA "KUI SHUAI, MAOZI 10 YUAN YI DING" KUI MAANA YAKE NI KULA HASARA ,HIVYO BASI PANAMAANISHA NAUZA KWA HASARA KILA MOJA NI YUAN KUMI, IKIMAANISHA KUWA, KOFIA HIZO SIO ZA HIVI KARIBUNI NDIO MAANA ANAUZA KIHASARA ILIMRADI ZIISHE ASIZITUPE:lol:, PIA MDAU HAJATUAMBIA HIYO PICHA IMEPIGWA LINI, INAWEZEKANA ILIPIGWA MIAKA ILIYOPITA, PIA KARIAKOO KUNA WACHINA WENGI, PICHA INAWEZA KUPIGWA KARIAKOO PIA, AU MDAU ALITOKA ZAKE BONGO KAJA GUANGZHOU KUTAFUTA MZIGO NA AKALETA HIYO KOFIA KWA MCHINA ILI ATENGENEZEWE KAMA HIZO AKALE DEAL BONGO, NA HIYO ALIIDONDOSHA TUU MEZANI KWA MCHINA NA AKAPIGA PICHA KAZUSHA ETI ZINAUZWA CHINA, INA MAANA HIYO ILIKUA MOJA TUU KATI YA NYINGI TOFAUTI?


  KUHUSU PAMBA ZA KAPPA, ZIMEANDIKWA TANZANILA, INAWEZEKANA KWANI HAPA CHINA KUNA NOKLA PHONES PIA NA SIO NOKIA, UKIONA HIVYO SASA KAMA ALIVYOSEMA MDAU FLANI KWA MR MITHUPU AKA MICHUZI, WA GLOB YA JAMII, CHINA KUNA BEI TATU NA UBORA WA AINA TATU, HIVYO ILIYOANDIKWA TANZANLIA NI YA UBORA WA MWISHO (NO 3)


  NILIPITA DUKA FLANI NAQ KAONA PAMAB NZURI ZA KAPPA ORIGINAL ZENYE MAJINA MBALIMBALI KAMA JAMAICA, USA, TANZANIA, NA ZA BONGO ZINAONEKANA HIVI  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kweli nimewakubali waChina ni kiboko.. Hawadharau hata biashara iwe inahusu taifa dogo kiasi gani!
  big up Ndinda kwa kutujuza zaidi...
  Kweli JF ni serikali mbadala,na tumetimia kila idara na kila mahali..
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  wachina hapendwi mtu wanaangalia soko linataka nini wanamwaga mzigo...
   
Loading...