Ughaibuni.com, nini kiongezwe,punguzwa au kuboreshwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ughaibuni.com, nini kiongezwe,punguzwa au kuboreshwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ugaibuni, Jan 8, 2012.

 1. u

  ugaibuni Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakubwa, binafsi ni mgeni kwenye jukwaa hili baada ya kupata utambulisho wa rafiki yangu ambaye ni mchangiaji mzuri wa jukwaa hili(jina kapuni)

  Sasa leo nakuja na hii tovuti Ughaibuni - Tovuti mahususi inayowakutanisha Watanzania toka pande mbalimbali za dunia. Ni tovuti ya Habari,majadiliano nk. Lengo ni kuwakutanisha Watz toka kila kona. Kujua zaidi unaweza soma Kuhusu Sisi .

  Hivyo naomba ushauri wenu wa kiufundi na kimtazamo juu ya nini kiboreshwe,kiondolewe au kuongezwa ili kuboresha Ughaibuni.com.

  Mdau
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe ndio Mhariri wa hii Tovuti ya Ughaibuni?
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Absoululey Splendid nimeipenda ur site na pia nimepata mawazo mengi sana ya kudesign nilivocheki web yako.. keep it up :poa
   
 4. u

  ugaibuni Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haswaa mkuu
   
Loading...