Search results

  1. Geo C Starfish

    SoC01 Maoni juu ya wafungwa wa makosa ya mauaji, kusababisha ulemavu wa kudumu kwa wanaotegemewa na familia zao

    Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine. Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au kuwekwa kifungoni huitwa mfungwa. Kifungo hufanya watu kufuata sheria na hupunguza kwa kiasi fulani...
  2. Geo C Starfish

    Lini tutafika kama Taifa?

    Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
  3. Geo C Starfish

    Tanzania, nchi iliyobarikiwa vitu wakalaaniwa watu

    Katika maisha yetu ya kila siku, binadamu tumekuwa tukipendelea zaidi vitu au mambo ambayo kwetu ni mazuri na yanayotupa sifa nzuri mbele ya wenzetu. Na mara nyingi inapotokea kila zuri tunalolihitaji tunalipata na kila tunalolifanya linafanyika vizuri na kutupa faida, kiimani huwa tunaamini...
  4. Geo C Starfish

    SoC01 Mateso ya Binti wa Shule yaliyopuuzwa na Jamii

    Katika familia nyingi za kiafrika hasa ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuzaa watoto inachukuliwa kama baraka kubwa sana na hasa watoto hao wakiwa wa jinsia zote mbili, watoto wa wakiume na watoto wakike. Na hata inapotokea familia imepata watoto wote wa jinsia moja, wazazi huiona kama...
Back
Top Bottom