Search results

  1. Mbao Tanzania

    Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

    Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
  2. Mbao Tanzania

    Tupambane tujenge nyumba tuzipendazo, lakini tusisahau KUISHI

    Ujenzi wa nyumba za kuishi wenyewe una mambo mengi. Wapo wanaojenga dream house zao, wengine wanajenga kujisitiri tu na wengine wanakarabati nyumba za urithi kwa lengo la kuishi nazo moja kwa moja. Kwa vijana wanaojenga nyumba zao za kuishi lazima wanajinyima ili watoe kitu cha maana. Kibiriti...
  3. Mbao Tanzania

    Kuwa makini na mtu unayemuazima gari

    Sio kila mtu ni mstaarabu. Kuna marafiki, jamaa na ndugu zetu wasiojua kuthamini cha mtu mwingine. Yaani wao kila kitu wanachukulia poa tu sababu ya kujuana. Wanajua hutawafanya chochote. Hivi kwa mfano, umemuazima gari mtu wako wa karibu kwa upendo kabisa halafu akaenda kulitumia hivi...
  4. Mbao Tanzania

    Tupo tayari kumdhamini msanii atakayehamasisha umuhimu wa makazi na uwekezaji

    Tubadilishe content kidogo na narrative ya muziki wa kizazi kipya. Vijana hawafanyi maendeleo kwa sababu miziki ya kisasa inawahamasisha kufanya starehe na sio kuwekeza au kufanya mambo ya maana kwenye maisha yao. Mfano "Bia tamu". Miaka michache ijayo tutakuwa na vijana masikini sana...
  5. Mbao Tanzania

    Mbao zenye dawa ni bora kuliko chuma

    Inatamanisha kutumia chuma katika kuezeka au kukamilisha ujenzi wa majengo na utengezaji wa samani kama vitanda, meza, makochi n.k. Lakini malighafi ya chuma ni gharama sana na inaweza kukupatia hasara. Chuma kinapata kutu, kinaoza, kinasumbua kwenye uandaaji na matumizi yake. Ni bora kutumia...
  6. Mbao Tanzania

    Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

    Tukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana. Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako? Umekwama wapi? Shea nasi uzoefu tujifunze kwa pamoja.
  7. Mbao Tanzania

    Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

    Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha. Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo. Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo. Wikiendi njema!
  8. Mbao Tanzania

    Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

    Kwanza tunawapongeza wote mnaoendelea na ujenzi wa makazi. Kumiliki nyumba kuna heshima yake. Lakini hebu tuambieni, ratiba za kwenda site huwa zikoje? Mfano wewe unayejenga; site unaenda kila wikiendi kwa ajili ya kusimamia mafundi, au kila unapopata hela ya kujazia jazia vifaa na malipo ya...
  9. Mbao Tanzania

    Vijana mnaojenga bajeti mnaimudu?

    Tunatafuta vijana wa umri kati ya miaka 18 hadi 35 wanaojenga nyumba zao na wamefikia hatua ya kuezeka ili tuwapunguzie makali ya bajeti ya ujenzi. Mbao hizi zitawafaa na tutawauzia kwa punguzo la 25% ya bei ya sokoni. Tunawalenga vijana wa umri huo tu. Mzigo upo wilayani Ilala kwenye eneo...
  10. Mbao Tanzania

    Tuulize chochote kuhusu mbao na changamoto zake

    Heri ya mwezi mpya, Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi. Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi wa majengo na baadhi ya miundombinu hapa kwetu kwa kiasi kikubwa bado hutegemea mbao kama mojawapo...
Back
Top Bottom