Search results

  1. tanira1

    Natafuta mashamba ya kulima mahindi Morogoro

    Natafuta mashamba ya kulima mahindi ya kumwagilia Mororgoro yeyote yule mweneye idea wapi nitapata shamba ambalo nitaweza kuchimba kisima na maji yapatikane mwaka mzima anijulishe
  2. tanira1

    Umeme wa mcc block l Kihonda mauzauza

    wakuu umeme wa mcc unaosambazwa na symbion kihonda block l kama eneo la mradi hatua ya kwanza umekuwa wa mauza mauza baada ya mafisadi kutia mkono na kuusambaza kifisadi na kuacha maene lengwa mengi ya walalahoi leo nimeona mamia ya wananchi wakijikusanya kwenda kwa mbunge wa morogoro ndugu...
  3. tanira1

    WAKUU SIMUELEWI KABISA MAKAMBA Jr. STAR TV

    Anasema bado hajaona mbadala wa ccm labda miaka 30 ijao au arobaini huyu naona anaota mchana kudanganya nafsi yake makamba fungua macho huku kitaa dalili zinaonyesha mnangoka 2015
  4. tanira1

    Selikali mmekopa Stanbic sasa wanatukomesha

    Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
  5. tanira1

    Kodi ya tsh 12000 kwa mwezi stanbic current account imekaaje?

    wakuu naomba kujulishwa hii tozo ya sh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account imekaaje mbona mimi siilewi kabisa licha ya liba kubwa wanazochukua licha ya kufanyia biashara fedha zetu bado wanatoza 12000 yaani imepanda kwa asilimia 1200 nafikiri hii si sawq selikari iingilie kati
  6. tanira1

    Dr Slaa punguza kasi kulinda hazina yetu

    Baba unanifurahisha sana na juhudi zako za kukitangaza chama chetu, jambo hilo ni zuri unalofanya na unapaswa kulifanya, kwa kuwa sisi si watawala kazi yetu kubwa ni kukitangaza na kukisambaza chama chetu nchi nzima kadri tunavyopata wasaa na nyenzo either kutoka kwa wananchi or kwa wafadhiri...
  7. tanira1

    laana yawakumba maccm meatu yatandikwa na nyuki

    wakuu katika hali isiyo ya kawaida wajumbe wamkutano wa ndani wa ccm wilayani meatu wamejikuta wakitandikwa na nyuki waliyoibuka kutoka kwenye spika mojawapo ukumbini humo nyuki hao waliamua kuwatia adabu mafisadi baada ya kugundua kuwa mkutano wao hauna jipya zaidi ya ufisadi poleni maccm...
  8. tanira1

    tume ya uchaguzi yaanza rasmi mkakati wa kuchakachua daftari 2015

    wakuu leo nimesikia kichwa cha habari cha gazeti moja hapa nchini likiwa na habari ya kuwa tume ya uchguzi iko taaban kifedha katika kuboresha daftari la wapiga kula kwa ajili ya uchaguzi wa 2015, kwangu mimi huu ni mkakati mpya wa watawala kuhakikisha daftari hilo hariboreshwi hili tuingie...
  9. tanira1

    ccm na mtaji wa daraja la kigamboni

    ccm haina pakushika sasa wanafikiri kitu pekee kitakacho waokoa wakati huu ni ujenzi wa daraja la kigamboni wanasahau kuwa kigamboni sio tanzania kibaya zaidi wanatumia fedha walizokwapua kwa walala hoi za nssf kwa kuwalazimisha kutochukua mpaka wafikishe miaka 55 wakijua fika kwa hali hii mbaya...
  10. tanira1

    Nassari afyatuka: Kama maji hatuna flyover za nini?

    wakuu nimemsikiliza nasari muda mfupi uliopita alichosema kweli kina manufaa tunataka fly overs barabara nne nne na madaraja ya kifahali wakati huduma ya msingi hasa na maji kwa wananchi hawana tujadili
  11. tanira1

    Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

    wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu...
  12. tanira1

    Komba, mkiwagusa wabunge wa CHADEMA bungeni kwa ngumi mtatutambua watanzania

    komba nimesikiliza upuuuzi wako wakati unaitimisha hotuba yako bungeni sikushangaa kwa kuwa wewe ni mwana kwaya ila nakutaadharisha mkwala uliopiga kwamba wabunge wa cdm ni wachache kwa hiyo mtawaua kwa ngumi unajidanganya mbunge mmoja wa cdm ni sawa na nyinyi hamsini kwa hiyo tunakuhakikishia...
  13. tanira1

    Baba JK katika miaka saba walau kwa hili umenifurahisha

    Baba jk nakupongeza sana kwa tume nzuri ya katiba uliyoichagua isipokuwa wasiwasi wangu je utakubali watakayopendekeza? Baba naanza kuamini kuwa washikaji zako ndio waliokuangusha lakini wewe ulikuwa na nia nzuri juu ya taifa lako nakumbuka kitambo kidogo nafikiri ilikuwa december 2005...
  14. tanira1

    waliotaka kuongeza vituo vya kura kule arumeru tuwafanyaje?

    wakuu nilitaka kufahmu hatua za kuchukua sisi wapigania uhuru wa tanzania dhidi ya wapola demokrasia waliyojaribu kupenyeza vituo hewa hamsini(50) kule narumeru kumbukeni chadema wasingekuwa makini vituo hivi vingetumika kupenyeza kura hata mia hamsini kwa kila kituo ingekuwaje? na hao jamaa...
  15. tanira1

    handsome up inasaidia au watanzania wanaibiwa?

    wakuu nimekuwa nikiona teknolojia ya kutumia kimtambo kinaitwa handsome up kwenye gazeti la uwazi kazi ya kimtambo hiki ni kurefusha na kunenepesha uume bila kutumia kemikali je kinasaidia au ufisadi mpya? kinauzwa 150000. napenda majibu kutoka mtumiaji au rafiki wa karibu wa mtumiaji
  16. tanira1

    associated degree

    wakuu nilikuwa naomba kujua ASSOCIATED DEG​REE ni degree ya aina gani (weight yake)
Back
Top Bottom