Komba, mkiwagusa wabunge wa CHADEMA bungeni kwa ngumi mtatutambua watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Komba, mkiwagusa wabunge wa CHADEMA bungeni kwa ngumi mtatutambua watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanira1, Jun 18, 2012.

 1. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  komba nimesikiliza upuuuzi wako wakati unaitimisha hotuba yako bungeni sikushangaa kwa kuwa wewe ni mwana kwaya ila nakutaadharisha mkwala uliopiga kwamba wabunge wa cdm ni wachache kwa hiyo mtawaua kwa ngumi unajidanganya mbunge mmoja wa cdm ni sawa na nyinyi hamsini kwa hiyo tunakuhakikishia hao kila mmoja anawakilisha watanzania milioni 1.2 sasa kama nyinyi mia tatu mnaweza kusimama na sisi milioni 45 jaribuni muone.ya zanzibar yanawatokeeni puani mnataka kuanzisha na huku sisi tutawanyonga
   
 2. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Afanye utaratibu akamtoe lulu lupango!
   
 3. l

  lycan Senior Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  baba lulu nae
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbakaji huyo anaongea nini.....Komba a.k.a kitumbo ndi.
   
 5. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  anajidanganya anajua wapo wengi, m2 mwenyewe BP pale imemjaa, ss kama bajeti inafaa kwann analalamika jimbo lake maskini? Aibu yake.
   
 6. m

  majebere JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  mtafanya nini nyie waoga wakubwa, kelele za JF tu hizo. Hao milioni 45 wote wako arusha na moshi?
   
 7. K

  Kodemu Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naickitikia familia inayomuita baba. jitu lenywe ni mzigo, hakuna linachofanya zaid ya kula 2, linadai kuunga hoja huku linalalamika jimbo lake masikin, hiv huu c uchiz jaman!
   
 8. B

  Bob G JF Bronze Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nchi haitatawalika patakua hapatoshi kuwapiga Makamanda wa CDM bungeni
   
 9. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukizoea kula ovyoovyo,utanenepa ovyoovyo,akili yako itakuwa ovyoovyo,utakunya ovyoovyo,utavaa ovyoovyo,utaonekana ovyoovyo,utatembea na wanawake ovyoovyo,akili yako ovyoovyo.Komba ni ovyoovyo
   
 10. m

  majebere JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  haya mambo wanaweza wazanzibari nyie mtabaki na mkwara wenu humu JF, wabongo ni waoga wakubwa na CCM itatawala milele, na hela italiwa kama kawaida. Na wabunge wenu watanyanyaswa kama kawaida. CCM ndio tanzania na nyie wote mko chini ya Amri ya Rostam na wenzake.
   
 11. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nasubiri Masanja mkandamizaji (the comedy), next week, atoe vitu vyake kuhusu huyu Komba!
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Ni huyu baba yake lulu?
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Amezoea kuimba kwaya, ndo anadhani bungeni ni mipasho!!!!!
   
 14. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Komba hovyoooo!
   
 15. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Hilo nalo neno mkuu
   
 16. D

  Deofm JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nyamaza wewe unaleta uchozezi, sisi tumezoea utulivu na amani
   
 17. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Baba lulu bana nae. Si akamtoe mke wake selo? Halafu katoto kapo under 18. Mbakaji mkubwa huyo na mwenzie kanumba.
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Tundu Lissu aliyewatoa povu washenzi anatoka Arusha na Moshi?
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wewe mfuga ndevu unafanya nini humu jamvini?
   
 20. D

  Deofm JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Labda umwanzishie television yako, lakini sio TBC
   
Loading...