Umeme wa mcc block l Kihonda mauzauza

tanira1

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
942
159
wakuu umeme wa mcc unaosambazwa na symbion kihonda block l kama eneo la mradi hatua ya kwanza umekuwa wa mauza mauza baada ya mafisadi kutia mkono na kuusambaza kifisadi na kuacha maene lengwa mengi ya walalahoi leo nimeona mamia ya wananchi wakijikusanya kwenda kwa mbunge wa morogoro ndugu abood hivi huu umeme ni wa obama? au ccm? mbona wanautumia kunyanyasa masikini?
 
Back
Top Bottom