Search results

  1. David Mgeni

    Naomba kupata connection ya mtu anayefanya kazi TRA Bagamoyo

    Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali.
  2. David Mgeni

    Nahitaji msaada wenu

    Samahani ndugu zangu nina ndugu yangu ana ujauzito ila anatokwa damu ukeni je naweza kupata msaada wenu NB:yuko vibaya kiuchumi
  3. David Mgeni

    Thamani ya fedha hizi

    Salama wakuu samahani wakuu naomba kuuliza anaejua thamani ya fedha hizi ambazo ni fifty dirham na 5 us dollar zote za zamani
  4. David Mgeni

    Naomba kuuliza tafadhali

    Wakuu kwema samahani naomba kuuliza kuna vifaa vya michezo huwa vinakanywaga miguuni unavicontrol kwa miguu miwili vina matairi mawili ni kama skate board lakini vinatofautiana kwa anaevijua naomba jina lake rasmi la kiingereza na picha pia
  5. David Mgeni

    Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

    Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa! Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one...
  6. David Mgeni

    Nanunua wazo la biashara

    Habari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au tunakuwa na ubia pamoja niko serious mambo ya utani hayatakiwi
  7. David Mgeni

    Nauli ya Tanga hadi Iringa ni kiasi gani?

    Wakuu habari za muda huu. Napenda kuuliza kwa waliowahi kusafiri kutoka Tanga mpaka Iringa, nauli yake kwa basi ni bei gani? Najua kuna aina tofauti za mabasi ila wastani nauli yake bei gani?
  8. David Mgeni

    Wafupi forum!

    Habari wanajukwaa, Natumaini mko salama kiafya, kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine (wafupi) kwa upande wangu huwa naghafilika ninapoonekana ni mdogo kumbe ni mtu mzima kisa tu ni mfupi mfano utashangaa kwenye...
  9. David Mgeni

    Hodi jamvini naomba ushirikiano wenu

    Hatimaye rasmi leo nakuwa member wa jamiiforum naomba ushirikiano mwema toka kwenu wadau
Back
Top Bottom