Naomba kupata connection ya mtu anayefanya kazi TRA Bagamoyo

David Mgeni

Senior Member
Aug 4, 2020
103
137
Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali.
 
Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali.
Ndg David unadhani ni rahisi kupata connection hivi? Nakushauri labda kama unashida kiofisi wapigie 0800780078 au 0800750075 na ingine wanatangazaga ni 0800110016 wanaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom