Nahitaji msaada wenu

David Mgeni

Senior Member
Aug 4, 2020
103
137
Samahani ndugu zangu nina ndugu yangu ana ujauzito ila anatokwa damu ukeni je naweza kupata msaada wenu NB:yuko vibaya kiuchumi
 
I think kuna shida katika kizazi ni dalili mbaya mimba kuharibika kutokana na kizazi kulegea yaani kizazi kutokuwana uwezo wa kubeba mimba so wahi hospital
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom