Nauli ya Tanga hadi Iringa ni kiasi gani?

David Mgeni

Senior Member
Aug 4, 2020
103
137
Wakuu habari za muda huu.

Napenda kuuliza kwa waliowahi kusafiri kutoka Tanga mpaka Iringa, nauli yake kwa basi ni bei gani?

Najua kuna aina tofauti za mabasi ila wastani nauli yake bei gani?
 
35,000/= SUITCO!! Ila spana mkononi. Wako jirani na ofisi za Tashriff. Barabara ya ngapi siujui ile!!
 
Back
Top Bottom