David Mgeni
Member
- Aug 4, 2020
- 68
- 125
Hatimaye rasmi leo nakuwa member wa jamiiforum naomba ushirikiano mwema toka kwenu wadau
Niliijua jamiiforum mapema ila nilikuwa msomaji tuKaribu. Ila humu ndni Kama kweli ni Mgeni Kuna mawili. Either kuharibikiwa akili mapema Sana au kupanuka akili mapema Sana. Nakuambia hivi kwa sababu tuna lundo la wageni wenyeji humu ambao wakiharibikiwa akili Sasa wanajifanya wageni ili waanze upya.
Mfano wewe yaani umejiunga Jana na Jana hiyo hiyo ukajua Kuna kuanzisha Uzi (jokes). Binafsi ilinichukua mwezi mzima kusoma mazingira B4 sijaanzisha Uzi.
Utetezi huu nimeshausikia wewe ni member wa 10,000Niliijua jamiiforum mapema ila nilikuwa msomaji tu
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us