Search results

  1. Sivan

    Phone4Sale Spark 2 inauzwa | Bei 150K

    Spark 2, Ram 1, Gb 16 | Bei 150,000 | Mtoni mtongani
  2. Sivan

    Inatakiwa uwe na kitu kimoja unachokijua kwa kina

    "Inatakiwa uwe na kitu kimoja ambacho una maarifa nacho au ujuzi nacho mpaka ikawa una uwezo wa kusimama popote pale muda wowote mbele ya watu zaidi ya 500 wakakuuliza chochote kuhusu icho kitu na ukajibu 99% maswali yote kwa ufasaha. Kama huna icho kitu basi sahau kufanikiwa" Nimemnukuu jamaa...
  3. Sivan

    Elimu ya chuo kikuu ni kupoteza muda

    "Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga" Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.
  4. Sivan

    Unashindwaje kutengeneza 30,000 kwa siku Dar es Salaam?

    "Inakuwaje wewe Graduate unaishi Dar unashindwa kutengeneza 30,000 kwa kila siku Consistently" Nimemnukuu jamaa hapa stationary moja nikitoa copy yule kama si Motivesheni Spika itakuwa ni Keyboard Worrior. NB: Sikuambiwa mimi ni maongezi yao siwafamu.
  5. Sivan

    Kwanini ukikaa siti moja na Pisi unawaza kumtongoza?

    Kwanini Men ukiwa unasafiri mkoa mmoja kwenda mwengine na imetokea umekaa siti moja na Pisi/Manzi asilimia kubwa lazima utamtongoza either safarini au baada ya safari. Mimi kuna Pisi moja nyembamba nilikuwa naionaga Cafteria chuoni kwa mbali kama navyowaona wengine tu alikuwa mwaka wa kwanza...
  6. Sivan

    Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

    Nipo Moro wadau nataka madili na mishe nazoweza fanya huu mkoa za kunipa hata 10000 kwa siku. Munipe mishe wadau wa Moro.
  7. Sivan

    Begi jipya OG 20,000

    SOLD OUT
  8. Sivan

    Kiswahili kinaweza kuwa Biashara unajua

    Unajua kuna sehemu hapa Duniani kuna mzungu au mtu kutoka taifa lolote anataka kujua kiswahili mbali na kuwa na access ya kujifunza kiswahili lakini anakuwa more exceted kumpata mtu atakae ongea nae ili kupata uzoefu, huyu yupo tayari kuongea na Mswahili harisi hata kwa simu ndani ya saa 1 tu...
  9. Sivan

    Sehemu hii inaweza kuwa na madini wadau?

    Tuna kiwanja nje kidogo ya DSM kinagema sehemu ambayo kama bonde alafu pembeni imepanda juu yaani kama bonde inafanana na Karst Region (Sehemu zinazopatikana chokaa). Ardhi yake ni kama kichangarawe na rangi nyeupe sehemu za juu rangi ya kidongo. Hapo kati kuna vimiinuko vidogo vidogo kama...
  10. Sivan

    Proposal kwa walimu wanaoomba ajira Tzs 2000

    Kwa wale walimu unapoenda kuomba kazi inabidi umshawishi muajiri nini utafanya kukuza ufauru au thamani yako ipi. Tumekuandalia Proposal ya Approach ya kuinua ufauru wa wanafunzi utayo muonesha muajiri nini utafanya katika nyanja kadhaa. Unapofika kwa mtaaluma au mkuu wa shule unamoigisha somo...
  11. Sivan

    Nahitaji mishe nilipe madeni

    Msaada katika mapambano ya maisha kuna nilikopa kwa watu kama wawili kihasi cha pesa sasa Biashara niliyokuwa nimefanya ikafeli vibaya sana kwasasa nadaiwa inabidi niwalipe, na unajua hali ilivyo ngumu sasahivi mtu akikidai anakusisitiza kesho unipe, jumatatu ninahitaji sio mchezo. Nimewapiga...
  12. Sivan

    Nina maono ya ku-Organize Fund raising kusaidia vijana

    Naweza nikafanya kitu ambacho kitaacha alama jamvini ila sitaweza kufanya bila support yenu. Am inspired na malengo makubwa walionayo vijana na hali ya maisha inavyowasariti...we have very excited generation wenye mawazo mazuri but when it come down mtaji umekuwa jinamizi kwao. Nina maono ya...
  13. Sivan

    Una wazo la kufanya ufugaji wa kibiashara

    Sikumoja nitaanza ufugaji ila nahitaji EXPERIENCE ya ufugaji na mambo yote yanayohusu ufugaji kibiashara usimamaizi, masoko nk. Kwa aliye na wazo la kuanza ufugaji wa kuku (broiler)tushitikiane tujuhike wote kutoka mwanzo wa mradi mpaka kuonesha matumaini tutahusika wote kuhakikisha mradi...
  14. Sivan

    Mwalimu wa Geography na History nahitaji kituo cha kazi

    Wadau hapo chini mbona tunakatishana tamaa wazee acheni hizo mambo ndugu lughalugha mbona nimewasilisha assignment zote kwa hiyo lugha.
  15. Sivan

    Freebasic imekuwaje leo

    Wale tunao stream/peruzi bure Jamiiforums imekuwaje toka jana usiku inakataa mpaka uweke MB kwahiyo huu ndio mwisho wa Freebasic, munaotumia Freebasic kwa Tigo hakuna tatizo hili. Mpaka FB ukijaribu inakataa inamaana huu ndio mwisho wa bure hii Freebasic ilikuwa inasaidia kidogo gharama za Data...
Back
Top Bottom