Proposal kwa walimu wanaoomba ajira Tzs 2000

Proposal kwa walimu wanaoomba ajira Tzs 2000

Sivan

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
923
Reaction score
1,232
Kwa wale walimu unapoenda kuomba kazi inabidi umshawishi muajiri nini utafanya kukuza ufauru au thamani yako ipi.

Tumekuandalia Proposal ya Approach ya kuinua ufauru wa wanafunzi utayo muonesha muajiri nini utafanya katika nyanja kadhaa.

Unapofika kwa mtaaluma au mkuu wa shule unamoigisha somo between line Approach zilizo kwenye proposal.

Nauza proposal inauzwa 2000 ina page 3.
 
unamaanisha walimu wa vidudu/chekechea ama...? ivi mtu nisome mika karibia 7+4+2+4=17 nishindwe kumshawishi mtu kwa maandishi hadi uje uniandikie wewe kweli....?

kazi yako ni ipi...kijana...?
Unamshawishi kupitia nini ??
 
Kwa wale walimu unapoenda kuomba kazi inabidi umshawishi muajiri nini utafanya kukuza ufauru au thamani yako ipi.

Tumekuandalia Proposal ya Approach ya kuinua ufauru wa wanafunzi utayo muonesha muajiri nini utafanya katika nyanja kadhaa.

Unapofika kwa mtaaluma au mkuu wa shule unamoigisha somo between line Approach zilizo kwenye proposal.

Nauza proposal inauzwa 2000 ina page 3.

NINA WASIWASI NAIYO PROPOSAL ...tupe translation ya word ''ufauru''
 
Mtoa post hana kazi, angekuwa na uwezo wa kuform ma proposal angekuwa ashapata kazi UN, au hata NEC wanakolipana vizuri.
 
Back
Top Bottom