Nahitaji mishe nilipe madeni

Nahitaji mishe nilipe madeni

Sivan

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
923
Reaction score
1,232
Msaada katika mapambano ya maisha kuna nilikopa kwa watu kama wawili kihasi cha pesa sasa Biashara niliyokuwa nimefanya ikafeli vibaya sana kwasasa nadaiwa inabidi niwalipe, na unajua hali ilivyo ngumu sasahivi mtu akikidai anakusisitiza kesho unipe, jumatatu ninahitaji sio mchezo.

Nimewapiga Calender malakadhaa nimewapa ndani ya mwezi huu naweza kuwalipa kabla sijawaza mengine kwanza nataka niwalipe nahitaji Quickly Hustling itayonipa pesa niwe huru.

Nahitaji Connection ya mishe yoyote ya chapu itayonipa Continuous Income ndani ya mwezi niwalipe hata ikiwa napata 4000 kwasiku.
 
andaa sh.8000, nenda kariakoo kanunue kofia za wanawake dazen 2, kwa kila moja 4000, Kisha nenda pale kongo na narung'ombe simama katik Kati ya barabara, uza kila moja kwa buku buku, hivyo kwa dozeni mbili jumla utapata 24000, toa hiyo 8000 ya manunuzi, utabakiwa na 16000, ukila na kuonga, nadhani pia utapata pesa ya kulipa deni au ukiona kariakoo mizinguo, ingia mtaani wauzie kofia mbili kwa buku,faster utauza dozeni mbili,happy utapata faida ya buku nne kwa dozen mbili samahanii broo nakutania tuu,si unajua tenaa Mimi huwa napenda utaniiii.
 
Msaada katika mapambano ya maisha kuna nilikopa kwa watu kama wawili kihasi cha pesa sasa Biashara niliyokuwa nimefanya ikafeli vibaya sana kwasasa nadaiwa inabidi niwalipe, na unajua hali ilivyo ngumu sasahivi mtu akikidai anakusisitiza kesho unipe, jumatatu ninahitaji sio mchezo.

Nimewapiga Calender malakadhaa nimewapa ndani ya mwezi huu naweza kuwalipa kabla sijawaza mengine kwanza nataka niwalipe nahitaji Quickly Hustling itayonipa pesa niwe huru.

Nahitaji Connection ya mishe yoyote ya chapu itayonipa Continuous Income ndani ya mwezi niwalipe hata ikiwa napata 4000 kwasiku.
Una taaluma gani?
 
Kof
andaa sh.8000, nenda kariakoo kanunue kofia za wanawake dazen 2, kwa kila moja 4000, Kisha nenda pale kongo na narung'ombe simama katik Kati ya barabara, uza kila moja kwa buku buku, hivyo kwa dozeni mbili jumla utapata 24000, toa hiyo 8000 ya manunuzi, utabakiwa na 16000, ukila na kuonga, nadhani pia utapata pesa ya kulipa deni......au ukiona kariakoo mizinguo, ingia mtaani wauzie kofia mbili kwa buku,faster utauza dozeni mbili,happy utapata faida ya buku nne kwa dozen mbili........samahanii broo nakutania tuu,si unajua tenaa Mimi huwa napenda utaniiii.
Kufia gani hizo za wanawake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom