Freebasic imekuwaje leo

Sivan

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
923
1,223
Wale tunao stream/peruzi bure Jamiiforums imekuwaje toka jana usiku inakataa mpaka uweke MB kwahiyo huu ndio mwisho wa Freebasic, munaotumia Freebasic kwa Tigo hakuna tatizo hili.

Mpaka FB ukijaribu inakataa inamaana huu ndio mwisho wa bure hii Freebasic ilikuwa inasaidia kidogo gharama za Data zimekuwa juu sana, MB unapata chache na zinaisha haraka.
 
Ila free basics bhana ya kingese Sana huwezi kudownload pic Wala video
 
Wale tunao stream/peruzi bure Jamiiforums imekuwaje toka jana usiku inakataa mpaka uweke MB kwahiyo huu ndio mwisho wa Freebasic, munaotumia Freebasic kwa Tigo hakuna tatizo hili.

Mpaka FB ukijaribu inakataa inamaana huu ndio mwisho wa bure hii Freebasic ilikuwa inasaidia kidogo gharama za Data zimekuwa juu sana, MB unapata chache na zinaisha haraka.

Freebasic kwa mtandao wa tigo haina shida.
 
Back
Top Bottom