siti

  1. tang'ana

    Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani. Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
  2. Eli Cohen

    Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  3. Mayor of kingstown

    Kero ya kukuta mtu kakaa kwenye siti yako ya dirishani kwenye Bus.

    Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia. Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea . Binafsi hili jambo lina...
  4. M

    Ukiona siti iko wazi muda mrefu ulizia kabla hujaikali, yawezekana kuna sababu inakimbiwa ✍️

    MPELELEZE KABLA HUJAANZA NAYE MAHUSIANO ILA ASIJUE KAMA UNAMPELELEZA ✍️ Wajuvi husema ukiona siti haikaliwi usikuikurupikie bali peleleza kwa kina kwanini inakwepwa? Ukijua sababu ndio jipime kweli utaweza kuikalia hiyo siti bila kuathirika? Sababu zilizokimbiza wengi hata wewe zinaweza...
  5. N

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake. Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza...
  6. Dasizo

    Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?

    Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  8. Mpigamimba

    Upo kwenye daladala anaingia mrembo, unatarajia atakaa vizuri kwenye siti yenu nyie wawili tu, lakini akakupa mgongo

    Nilitafakari sana kichwa cha habari hii. Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari. Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi...
  9. Teko Modise

    Kwanini Viongozi huwa wanakaa siti ya nyuma kwenye magari yao?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongozi wengine wakuu wa kitaifa hupenda kukaa siti ya nyuma kwenye magari na sio siti ya mbele? Nini huwa sababu hasa
  10. ommytk

    Hivi wamama /wanawake awasadiani siti kwenye bus wakimuona mama mtu mzima au mgonjwa au mwenye mtoto

    Hii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo
  11. Superbug

    Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  12. M

    Nimeli-miss sana pilau! Leo nitawahi mapema siti ya mbele!! Chama langu la msimbazi tupe raha leo!

    Kwa kweli watu tumelimiss soka pilau kwa muda sasa, leo tutajikumbushia utamu wa soka pilau toka kwa wekjndu wa msimbazi!
  13. Analogia Malenga

    Kilimanjaro: Askari amuua mwenzake kwa ugomvi wa kukaa siti ya mbele

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha askari polisi wa kitengo cha upelelezi Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, aliyetambulika kwa jina moja la Linus aliyefariki usiku wa kuamkia Mei 31, mwaka huu ikidaiwa alipigwa risasi shingoni na askari mwenzake. Alipotafutwa na gazeti hili kuzungumzia suala...
  14. B

    Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

    Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
  15. Vhagar

    Aondolewa kikosini baada ya kupigana akigombea siti ya dirishani

    Mchezaji Emmanuel Dennis (23) wa club ya club brugge (Belgium) raia wa Nigeria hapo jana alijikuta akiondolewa kikosini baada ya kupigana na mchezaji mwezie akigombea siti ya dirishani. Hali hiyo ilitokea wakati team hiyo ikisafiri kwa basi la team hiyo kwenda kukipiga huko Signal iduna park...
  16. Sivan

    Kwanini ukikaa siti moja na Pisi unawaza kumtongoza?

    Kwanini Men ukiwa unasafiri mkoa mmoja kwenda mwengine na imetokea umekaa siti moja na Pisi/Manzi asilimia kubwa lazima utamtongoza either safarini au baada ya safari. Mimi kuna Pisi moja nyembamba nilikuwa naionaga Cafteria chuoni kwa mbali kama navyowaona wengine tu alikuwa mwaka wa kwanza...
  17. GENTAMYCINE

    Ni kwanini wasiopenda Kulipa Nauli ndani ya DalaDala ( Wakwepaji Nauli ) hupenda sana Kukaa Siti za katikati tu pekee?

    Je, ni kwanini Makondakta wa DalaDala nguvu zao nyingi za Kudai Nauli kwa Abiria wao huziweka sana kwa Abiria tu wa mbele na nyuma lakini mara nyingi mno wale Abiria wanaopenda Kukaa Siti za katikati hujikuta wakiwa wamesahaulika Kudaiwa Nauli? Na imegundulika pia kuwa Wakwepaji wengi wa Kulipa...
  18. Nyendo

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

    Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
  19. kunguni wa ulaya

    Usafiri wa umma watakiwa kubeba abiria kwa idadi ya viti 'Level Seat' ili kupambana na mlipuko wa Virusi Corona

    Katika mikakati ya kupambana na ugonjwa wa Corona (Covid-19) serikali kupitia Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani linasimamia kuhakikisha kila gari ya abiria inabeba abiria kulingana na idadi ya siti zilizopo. Mfano leo huku Wilaya ya Kigamboni ikitokea daladala imejaza zaidi ya...
  20. Things Fall Apart

    SUMATRA kero hii hamuioni?

    Habari wana jamvi, SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara unakuta nafasi kati ya siti moja hadi nyingine (mbele na nyuma) inakuwa imebanwa sana kiasi kwamba...
Back
Top Bottom