Unakatisha watu tamaa mkuu...ebu kuwa mstaraabuKiingereza kibovu sana ndugu yangu, ungempa mtu ambaye ni mahiri katika lugha ya Kiingereza, akufanyie uhariri.
nadhani mtoa mada uko aliko anajisikia vibaya sanaUnakatisha watu tamaa mkuu...ebu kuwa mstaraabu
Ha ha haa! mkuu, alichoambiwa mleta mada ndio ukweli wenyewe, hiyo lugha haiwezi kabisa kumfurahisha mwajiri! Ndio maana mimi huo nalaani sana swala la kumpeleka mtoto shule za kayumba kwa wale wazazi wenye uwezo.nadhani mtoa mada uko aliko anajisikia vibaya sana