Search results

  1. Mzizi Tanzania

    Mwalimu wa Biology and Geography Dar es Salaam

    Hello wakuu wa JF, Mimi ni kijana niliehimu mwaka 2018 (Bachelorof science with Education Geography and Biology) nimekuwa nikitafta nafas za kufundisha private schoos bila mafanikio! Kwa sasa natafuta mtu wa kufanya naye partnership mwenye uwezo wa kufungua Tuition Centre ili kwa makubaliano...
  2. Mzizi Tanzania

    INAUZWA Ofa ya perfume msimu huu wa Valentine Day kwa Dar

    Jipatie ofa ofa ya perfume msimu huu wa Valentine Day kwa bei nafuu kabisa kwa ajili ya kunogesha siku ya wapendanao ukiwa na perfume bora kabisa! Tunapatikana -Mbezi Beach Dar unaweza kuweka order na kuletewa ulipo utachangia nauli kidogo. Wasiliana nasi kwanjia ya WhatsApp/Call/Text kwa...
  3. Mzizi Tanzania

    Msaada juu ya nauli ya Dar to Arusha

    Wana Jf natarajia kusafiri Alhamisi 24/12/ 2020. kwenda arusha nilikuwa naomba kujua nauli zikoje kwa basi na daraja lake! Ukizingatia nauli za Dar to Arusha naskia huwa zinapanda msomi huu wa sikukuu! Natanguliza shukran
  4. Mzizi Tanzania

    Special for students in both level secondary and colleges/university. How to score high marks on your exas

    EXAMINATION TECHNIQUES GENERAL PRECAUTIONS How to get high Score on your exams Sir Jr Geography and Biology tutor|| 0784214792 1. Ensure that your handwriting is good and if not, start improving on it right now. If your words are illegible, you may lose marks for an otherwise valid...
  5. Mzizi Tanzania

    Naombeni ushauri juu ya mradi huu wa Elimu

    Mimi ni kijana nimehitimu shahada yangu ya Bachelor of science with Education Geography and Biology mwaka 2018 nimeona nifungue fursa hii ili kuweza kupata kianzio ili badae nijenge kituo bora kabisa kinachohusu huduma ya Elimu! Project hii niko na mwalimu mwenzangu hivyo tunaomba support na...
  6. Mzizi Tanzania

    Mtaalamu wa kufundisha Masomo ya Nyumbani kwa kidato cha 1-4 sasa Yuko Dar

    HUDUMA INAENDELEA KUTOLEWA HAUJACHELEWA 🔥🔥🔥🔥HOME TUITION PROGRAMME (HTP) IN DAR ES SALAAM 0784214792/0620875813 #Likizo Time Muda ndo huo Mwalimu wa Geography and Biology kwa wanafunzi wa 🌏FORM 1-4 🌏 QT AND PRIVATE CANDIDATE (PC) 🇹🇿Wanaopenda kusomea nyumbani (Home tuition) 🇹🇿Wale...
  7. Mzizi Tanzania

    Maswali muhimu Juu ya Mtaala wa Elimu Ya Tanzania

    Tujadili kidogo watanzania wenzangu! 1. Hivi ni kwa asilimia ngapi mtaala wa Elimu ya Secondary hapa Tanzania umetekelezwa ? 2. Je Mtaala unafatwa kama ulivopangwa? 3. Walengwa katika mtaala huo wamewekewa mazingira bora ili kutekeleza kiufanisi mtaala huo? 4. Je sera ya Elimu ya Tanzania...
  8. Mzizi Tanzania

    Msaada wenu wanajf nina Shahada ya Ualimu nahitaji kazi

    Mimi ni kijana nimemaliza shahada yangu Ualimu mwaka 2018, nimepambana kutafta vibarua ili walau nipate ridhiki lakini hali imekuwa ngumu kadri muda unavokwenda! Nina uwezo wa kufundisha masomo ya Biology na Geography pia chemistry kwa sababu nimeisoma CBG! OMBI langu kwenu wadau naomba msaada...
  9. Mzizi Tanzania

    Home Tuition: Biology and Geography (Dar es Salaam)

    Hello wana JF nawasalimieni wakubwa zangu! Lengo la kuandika uzi huu ni kuwatangazia home tuition kwa wanafunzi wa O level and A level kwa wanaopenda Biology na Geography! Wale wanaorudia mitihani yao basi tatizo lao ndo mzizi umepatikana! Napatikana Dsm. Kwa wanaohitaji huduma hii...
Back
Top Bottom