Maswali muhimu Juu ya Mtaala wa Elimu Ya Tanzania

Mar 3, 2020
58
125
Tujadili kidogo watanzania wenzangu!

1. Hivi ni kwa asilimia ngapi mtaala wa Elimu ya Secondary hapa Tanzania umetekelezwa ?

2. Je Mtaala unafatwa kama ulivopangwa?

3. Walengwa katika mtaala huo wamewekewa mazingira bora ili kutekeleza kiufanisi mtaala huo?

4. Je sera ya Elimu ya Tanzania inafata Matakwa ya Mtaala huska?
5. Je mtaala wetu unaaksi maisha ya Karne hii?

Karibuni sana Wataalamu tujadiliane🇹🇿
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
6,301
2,000
Mkuu jiridhishe na uelewa wa mada husika kabla hujaileta humu, maana inaonekana hata "Dhana" ya neno mtaala huielewi. Kwa kukusaidia tu, hakuna Mtaala wa Elimu ya Sekondari Tanzania.
 
Myfancyface

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
866
1,000
Tujadili kidogo watanzania wenzangu!

1. Hivi ni kwa asilimia ngapi mtaala wa Elimu ya Secondary hapa Tanzania umetekelezwa ?

2. Je Mtaala unafatwa kama ulivopangwa?

3. Walengwa katika mtaala huo wamewekewa mazingira bora ili kutekeleza kiufanisi mtaala huo?

4. Je sera ya Elimu ya Tanzania inafata Matakwa ya Mtaala huska?
5. Je mtaala wetu unaaksi maisha ya Karne hii?

Karibuni sana Wataalamu tujadiliane

Sera inakuwepo kabla ya kutengeneza mtaala. Swali lingekuwa je mtaala husika unafuata matakwa ya sera?!
 
Mar 3, 2020
58
125
Mkuu jiridhishe na uelewa wa mada husika kabla hujaileta humu, maana inaonekana hata "Dhana" ya neno mtaala huielewi. Kwa kukusaidia tu, hakuna Mtaala wa Elimu ya Sekondari Tanzania.
Nadhani mkuu utakuwa mgeni katika hii idara!

Kuna mtaala wa shule ya msingi, secondary pamoja na college !
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom