Search results

  1. Hadrianus

    Meneja vs Wakala

    Habari wanamichezo. Nini tofauti kati ya Meneja wa mchezaji na Wakala wa mchezaji?
  2. Hadrianus

    Muonekano wa Kombe la NBC 2021/22

    Kwanini kwetu ubunifu ni tatizo sugu?
  3. Hadrianus

    Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

    Hadi sasa Simba anaongoza, tuendelee kupeana updates. Credit: Azam tv Haya ni matokeo ya 05/06/2022 saa tatu kamili usiku. 06/06/2022 saa 8.00 asubuhi Tarehe 06/06/2022 saa 7.00 mchana Saa 3.00 usiku tarehe 06/06/2022 07/06/2022 saa 2.50 asubuhi. 07/06/2022 saa 5 asubuhi...
  4. Hadrianus

    Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao

    Baada ya "semaji" kuvurugana na Barbra sasa ni zamu ya Kassim Dewji. “Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao. Bodi haina nguvu ya kuwawajibisha waajiriwa wao. CEO wa Simba ni kama yupo juu ya Bodi kwa sasa” Kassim Dewji Mjumbe wa Bodi ya Simba SC #EFM Kuna shida pale Simba Sc...
  5. Hadrianus

    Simba SC 2022/2023

    Kuelekea msimu wa 2022/2023 Simba wanatakiwa watafute kocha wa kueleweka ama wasajili wachezaji wa kueleweka ama vyote kwa pamoja. Over.
  6. Hadrianus

    Tik Tok kuwarithi Sportpesa

    Tetesi ni kua kuelekea mwisho wa mkataba wa udhamini wa miaka mitano kati ya Simba Sc Tanzania na kampuni ya kubet Sportpesa ni kwamba Simba Sc ipo kwenye mazungumzo na TIK TOK kuja kuwa mdhamini mkuu wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi.
  7. Hadrianus

    11 Wakuachwa Msimbazi

    Sababu mikataba kumalizika na mchango katika timu. 1. Wawa 2. Onyango 3. Bwalya 4. Mugalu 5. Kagere 6. Banda 7. Morrison 8. Nyoni 9. Bocco 10. Gadiel 11. Mzamiru
  8. Hadrianus

    Plant Mechanics Engineering

    Amani ya Mungu iwe nawe. Naomba kufahamishwa sifa ya kujiunga na chuo kinachofundisha Plant Mechanics pia vinapatikana mikoa gani kwa hapa Tanzania. Asante.
  9. Hadrianus

    Ushauri: Michuano ya Azam Sports Federation Cup ifutwe

    Habari wanamichezo. Kwa miaka ya hivi karibuni tangu kurejea kwa michuano hii ya F.A. Tanzania bara, nimeiona haina tija kwa soka la Tanzania bara sana imekaa kufaidisha kikundi cha watu wachache. Sababu kubwa inayonifanya niamini hii michuano ipo "kimchongo" zaidi ni upangaji wa droo wa mechi...
  10. Hadrianus

    Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

    Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki. Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano. #NguvuMoja
  11. Hadrianus

    Rally Bwalya ampishe Sharaf Eldin Ali AbdulRahman Shiboub

    Kila nikimtizama Rally Bwalya najiuliza kwanini Shiboub asisajiliwe kuziba nafasi ya Bwalya? Yule Msudani amemzidi kila kitu huyu dogo mzambia. Uzi tayari.
  12. Hadrianus

    Simba [emoji1241] uso kwa uso na Rs Berkane CAF CC

    #TotalEnergiesCAFCC Grp A Pyramids FC CS Sfaxien Zanaco FC Ahli Tripoli Grp B JS Kabylie/Royal Leopards Orlando Pirates JS Saoura Al Ittihad SC Grp C TP Mazembe Cotonsport FC Al Masry SC AS Otoho d'Oyo Grp D RS Berkane Simba SC ASEC Mimosas US Gendarmerie
  13. Hadrianus

    Kwanini kauli zake sio za kweli?

    Nimekua namfuatilia sana Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, kauli zake nyingi zimekua vice versa. Je anapokua anazitamka hua yupo siriazi au anatania? Mfano kauli yake ya mwisho hivi karibuni ni kwamba "Watanzania Milioni 24 wameajiriwa." Nyingine ile "Tanzania tuna nafasi kubwa ya...
  14. Hadrianus

    Tatizo nini Clouds FM, Radio Free & Star TV?

    Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa. Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
  15. Hadrianus

    Geita Gold FC na akili za Daraja la kwanza

    Ukizoea vya kunyonga... Baada ya kusota kwa muda mrefu wakiwa Ligi daraja la kwanza hatimaye wakapanda Ligi kuu Tanzania bara maarufu kama NBC PREMIER LEAGUE (Ligi yetu kivyetu vyetu). Misimu waliyocheza Ligi daraja la kwanza Geita Gold FC walitumia viwanja viwili, kimoja ni cha Shule ya...
  16. Hadrianus

    Nawaza sana, John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi?

    Nawaza sana John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi? John Bocco huyu wa sasa ambaye hata kutuliza mpira imekua kazi kwake. John Bocco huyu kupiga shuti kwake ni changamoto sana afu unategemea akufungie magoli? John Bocco huyu anamuwekaje benchi Reliant Lusajo au...
  17. Hadrianus

    Tutegemee kuwa na TOP 7 EPL?

    Inawezekana leo Oktoba 7, 2021 waarabu wa Saudia wakainunua Newcastle United. Uwekezaji unategemewa kua mkubwa zaidi ule wa City, hii italeta vita kubwa sana kuwania nafasi 4 za juu kushiriki UEFA. Tutegemee kua na Top 7 au tutabaki na Top 6?
  18. Hadrianus

    Sports extra ya Clouds rudisheni ngumu kumeza

    Habari wanamichezo! Ndani Sports extra ya clouds fm kila ijumaa kulikua na kitu kinaitwa "NGUMU KUMEZA". Mtangazaji wa clouds ninaye mfahamu kwa jina moja la Adamu alikua akisoma makala za ngumu kumeza zilizoandaliwa na Farhan Kihamu. Kiukweli huyu Farhan Kihamu ni mwandishi mzuri sana wa...
  19. Hadrianus

    Simba SC yapelekwa CAS tena

    [emoji116]
  20. Hadrianus

    Kwa Ufupi sana...

    Soka letu la Tanzania bara (Tanganyika) linahitaji uwekezaji (wawekezaji). Ila mwekezaji kama Mohammed Dewji (Mo Dewji) hawatakiwi kabisa kwenye soka letu, hawafai wanatufedhehesha sana. Kwa ufupi sana... "Who feeds you, control you".
Back
Top Bottom