Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,208
Habari wanamichezo!
Ndani Sports extra ya clouds fm kila ijumaa kulikua na kitu kinaitwa "NGUMU KUMEZA".
Mtangazaji wa clouds ninaye mfahamu kwa jina moja la Adamu alikua akisoma makala za ngumu kumeza zilizoandaliwa na Farhan Kihamu.
Kiukweli huyu Farhan Kihamu ni mwandishi mzuri sana wa makala na Adamu alikua anaisoma vyema na kuisimulia kwa ustadi sana "ngumu kumeza". Sijui kwanini Ngumu kumeza iliondolewa na wakaletwa wapiga kelele kama PRIVALDINHO.
Namfatilia sana Farhan Kihamu na Amri Kiemba hasa wanapokua pamoja kwenye kipindi cha michezo Clouds.
Mawingu "efu emu" ombi langu kwenu ile "Ngumu kumeza" irudisheni kila ijumaa.