Kwanini kauli zake sio za kweli?

Hadrianus

JF-Expert Member
Feb 19, 2020
2,112
5,208
Nimekua namfuatilia sana Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, kauli zake nyingi zimekua vice versa.

Je anapokua anazitamka hua yupo siriazi au anatania?

Mfano kauli yake ya mwisho hivi karibuni ni kwamba "Watanzania Milioni 24 wameajiriwa."

Nyingine ile "Tanzania tuna nafasi kubwa ya kucheza World Cup Qatar"

Nyingine nadhani mnazikumbuka hasa ile "mnataka azurule Kariakoo..."

Waziri Mkuu hatukuamini tena
 
INAONEKANA MTANDAO UNAMWOGOPA SANA HUYU JAMAA!
 
Ila swala la ajira kwa watz 24m yaweza kuwa sahihi maana ajira si zile rasmi tu Bali hata zisizo rasmi Huwa zinahesabiwa.
Mtu anafanhankazi mashambani, kwa mhindi, dereva wa daladala n.k.
Zote ni ajira
Watanzania tunakadiriwa kua 50M.

Kuna makundi tofauti, watoto, vijana, wazee na walemavu.

Anaposema Milioni 24 yaani karibia 48% ya watanzania wana ajira?
 
🐒🐒🐒
109_20210706_190119.jpg
htB.jpg
cHi.jpg
c-1.jpg
imy65tgvage12.png
etX.jpg
3L7.jpg
3trq.jpg
AIWU7u.jpg
 
Uongo ni kawaida ya wanasiasa, bahati mbaya Majaliwa hajui jinsi ya kudanganya. Ili uwe mdanganyifu mzuri unatakiwa na upstairs uwe vizuri. Ujue takwimu na uelewa mzuri wa mambo mengine. Sasa yeye anaenda kusema kuwa watu bilioni sijui ngapi wameangalia msiba wa Magufuli.
 
Hiyo ya kuwa na nafasi kubwa kombe LA dunia ni kweli ila tumeichezea wenyewe
Ni sawa na kumwambia mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni kuwa una nafasi yakipara GPA ya 5 irskspomaliza chuo. Sada kaxi kwake nfivyo ilivyokuwa kwa taifa star.It is fact.
 
Ila swala la ajira kwa watz 24m yaweza kuwa sahihi maana ajira si zile rasmi tu Bali hata zisizo rasmi Huwa zinahesabiwa.
Mtu anafanhankazi mashambani, kwa mhindi, dereva wa daladala n.k.
Zote ni ajira
kwaiyo populationi watu milioni 50 humo kuna watoto, wazee, walemavu, n.k halafu hiyo 24m itatoka wapi usimtetee huyu aaminiki tena mm tangu amesema jamaa yupo na mafaili baada ya siku nikaona gwaride sina hamu nae
 
Mimi alinichosha tu wakati wa sakata la mkurugenzi wa Wa mji Geita kununua gari kwa bei kubwa aliposema kwamba eti Halmashauri ya mji Geita inaanzia viwanja vya nane nane hadi mwisho wa mji maeneo ya Samina wakati siyo kweli kabisa. Halmashauri ya mji Geita inaanzia mpaka wa Geita na Sengerema kijji cha Ibanda, Kasamwa, Kata ya Bulela, Kata ya Nyanguku, pamoja na kata ya Ihanamilo na inakwenda mpaka Mugusu kupitia Nyakabale. Kweli wakati mwingine anashangaza sana.
 
Nimekua namfuatilia sana Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, kauli zake nyingi zimekua vice versa.

Je anapokua anazitamka hua yupo siriazi au anatania?

Mfano kauli yake ya mwisho hivi karibuni ni kwamba "Watanzania Milioni 24 wameajiriwa."

Nyingine ile "Tanzania tuna nafasi kubwa ya kucheza World Cup Qatar"

Nyingine nadhani mnazikumbuka hasa ile "mnataka azurule Kariakoo..."

Waziri Mkuu hatukuamini tena
Huyu haaminiki, kumbuka alimwacha mgonjwa akiwa mahututi wodini Dar akaenda kuhamasisha kilimo cha parachichi Njombe
 
Back
Top Bottom