Search results

  1. kopuko

    How to start micro finance company

    wakuu habarini, msaada kwa mwenye info/utaratibu/vigezo na masharti vya kufungua microfinance natanguliza shukurani!
  2. kopuko

    Makavu live

    Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hiziWanawake wamekuwa Vichechebalaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Nanimepata jibu sasa....Sio kosa lao walaNI KOSA LETU WANAUMEHawatulii kwa sababu HATUWATULIZIZamani ilikuwa rahisi kusikia Wanawakewakihadithiana "Yaani My Man ananiduumpaka natamani...
  3. kopuko

    Mpesa line available

    Habari, kwa anayehitaji line za M Pesa za uwakala,awasiliane na mimi,bei chee kabisa
  4. kopuko

    Blackberry kama moderm

    Salama wakuu, yeyote mwenye ujanja anijuze,natumiaje bb network ku connect kwenye laptop au pc?kuna njia yeyote ile?naomba kujuzwa either kwa bluetooth au njia yeyote ile. Natamguliza shukurani
  5. kopuko

    Vyumba vya kupanga vinatafutwa

    Habari, inatafutwa nyumba au vyumba kwa ajili ya kupanga,chumba cha kulala,sebule jiko na choo,maji ya uhakika na parking,maeneo ni sinza,survey,mwenge,makumbusho,kijitonyama na morroco,tafadhali yeyote mwenye kufahamu au mwenye nayo tuwasiliane kwa 0797446693 natanguliza shukrani
  6. kopuko

    Wizi wa makato ya ppf

    habari wadau, ningependa kupata ushauri wa kisheria ni wapi pa kuanzia endapo nitagundua mwajiri wangu ananikata PPF/NSSF 20% yote kwenye mshahara wangu badala nusu kwa nusu kama tulivyokubaliana kwenye mkataba? wapi kwa kuanzia?fidia gani mtu anaweza kupata? Natanguliza shukrani!
  7. kopuko

    Natamani kumuoa ila.,....

    Habari wakubwa wenzangu wa jukwaa hili,,,natumai tu wazima wote wa afya njema.. nakuja katika jukwaa hili nikitumaini kupata msaada na ushauri kutoka kwenu mana najua kuna watu wengi humu na waliopitia changamoto nyingi pengine hata kama yangu. mi ni kijana mwenye makamu ya kutosha tu kuwa na...
  8. kopuko

    Dereva anapatikana

    habari wana JF, Dereva mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 anapatikana,,aliyemaliza form four,leseni class c mpya,CERTIFICATE IN GENERAL BASIC SKILLS IN MOTOR VEHICLE kutoka VETA,,ADVANCED DRIVERS CERTIFICATE GRADE II from NIT,,CERTIFICATE IN HEAVY TRUCK DRIVING FROM VETA,,,Anaishi dar yupo...
  9. kopuko

    Samsung 32" lcd tv kwa 650,000/=

    Samsung LN32D403 LN32D403 32" 720p LCD TV 0.0 0 $279.99 - $334.00 LCD HDTV:Now experience a mesmerizing picture quality with the 32-inch LN32D403 LCD HDTV from Samsung.
  10. kopuko

    Ni kuku au bajaji?

    Habari wana jf, nina kuja kwenu tena katika jukwaa hili nikitaka ushauri wenu kwani najua humu kuna watu waliobobea na kupitia mambo mbalimbali. Jamani kusema kweli natamani siku mja kuwa tajiri,but najua utajiri hauji hivi hivi bila jitiada flani,,nina kama 2 ml,ninaomba msaada wenu...
  11. kopuko

    Kwa shida na kwa rahaa

  12. kopuko

    One spelling mistake can destroy a marriage

    One spelling mistake can destroy a marriage.A husband on a business trip sent an sms to his wife and forgot 2 add ''e'' at the end of the word, ''I'm having such a good time, I only wish u were her!!! ungejiteteaje?
  13. kopuko

    Anger Management!

    how do you manage urz?
  14. kopuko

    Malipo stahiki muajiri akivunja mkataba

    habari wana JF,tafadhali ningependa kusaidiwa kujua malipo stahiki ya mtu kama muajiri amevunja mkataba,mfano halisi,muajili ame mterminate mwajiriwa kazi ambaye alikuwa akifanya kazi kwa mkataba wa mwaka mwaka bt renewable,je mwajiriwa anapaswa pata stahiki zipi?,,,,nauliza hv mana sample yangu...
  15. kopuko

    No ndoa kisa hajui ku do

    Hi wanajamii,ifuatayo ni story ya kweli kabisa niliyo adhithiwa na rafiki angu(bwana harusi mtarajiwa) wknd hii akiniomba ushauri afanye nn na achukue uhamuzi gani. Bwana Hamisi(jina si halisi) alipata galfrend mwezi mei,tokea hapo wakiwa wakionana na kuwasiliana tu kwa sababu ye anaishi mwanza...
  16. kopuko

    HI

    HI wanajamii!!!!
Back
Top Bottom