Ni kuku au bajaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kuku au bajaji?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kopuko, Nov 10, 2011.

 1. kopuko

  kopuko Senior Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf,
  nina kuja kwenu tena katika jukwaa hili nikitaka ushauri wenu kwani najua humu kuna watu waliobobea na kupitia mambo mbalimbali.
  Jamani kusema kweli natamani siku mja kuwa tajiri,but najua utajiri hauji hivi hivi bila jitiada flani,,nina kama 2 ml,ninaomba msaada wenu nifanye nini nazo ili mradi nisikose hata laki 4 mpaka 5 initialy kutoka katika hizo ml mbili kama faida?
  Nimesoma ufugaji wa kuku humu ndani,bt nadhani naweza kupata mawazo chanya mengine ambayo pia yatasaidia na wengine pia,,mimi binafsi nilikuwa nafikiria bajaji used ambayo waweza pata kwa ml 2 mpka 2.5,,,bt nataka mawazo mengi zaidi ili niwe na uwanja mkubwa wa kuchagua cha kufanya.
  Asanteni sana na ninakaribisha maoni na michango yenu.
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kaka labda kama una zingine mahali, lakini kama ni hizo tu kisha ununue bajaj used utashangaa nakwambia, utabaki na kumbukumbu tu kwenye maisha yako uliwahi kushika mil 2.

  Katika hivyo viwili bora ufuge kuku kaka
   
 3. kopuko

  kopuko Senior Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  zingine zipo kaka,dhumuni ni kipato cha ziada
   
 4. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Oooh kama hivyo sawa kaka, zikipotea hizi unachukua zingine au vipi?
   
Loading...