Vyumba vya kupanga vinatafutwa

kopuko

Senior Member
Oct 24, 2011
180
58
Habari,
inatafutwa nyumba au vyumba kwa ajili ya kupanga,chumba cha kulala,sebule jiko na choo,maji ya uhakika na parking,maeneo ni sinza,survey,mwenge,makumbusho,kijitonyama na morroco,tafadhali yeyote mwenye kufahamu au mwenye nayo tuwasiliane kwa 0797446693
natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom