Dereva anapatikana

kopuko

Senior Member
Oct 24, 2011
180
58
habari wana JF,
Dereva mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 anapatikana,,aliyemaliza form four,leseni class c mpya,CERTIFICATE IN GENERAL BASIC SKILLS IN MOTOR VEHICLE kutoka VETA,,ADVANCED DRIVERS CERTIFICATE GRADE II from NIT,,CERTIFICATE IN HEAVY TRUCK DRIVING FROM VETA,,,Anaishi dar yupo tayari kufanya kazi kwa kampuni kubwa hata watu binafsi,,mshahara maelewano,,,kwa watakao muhitaji na maelezo zaidi ni PM tuwasiliane zaidi,,,
asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom