No ndoa kisa hajui ku do | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No ndoa kisa hajui ku do

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kopuko, Oct 26, 2011.

 1. kopuko

  kopuko Senior Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hi wanajamii,ifuatayo ni story ya kweli kabisa niliyo adhithiwa na rafiki angu(bwana harusi mtarajiwa) wknd hii akiniomba ushauri afanye nn na achukue uhamuzi gani.
  Bwana Hamisi(jina si halisi) alipata galfrend mwezi mei,tokea hapo wakiwa wakionana na kuwasiliana tu kwa sababu ye anaishi mwanza mwanamke dar,kila jamaa akija wamekuwa wakikutana bar or hotel kwa lunch story nyingi bt hawafanyi mapenzi,wameendelea hivyo kwa muda mrefu mpka walipoamua kuoana,wakafanya mautambulisho kila sehemu ikabaki kwenda kuandikisha ndoa kwa kanisa tu.
  Mwezi uliopita bwana Hamisi akaja dar kwa ajili ya process za kuandikisha harusi na maaandalizi flani hv yaanze,alifikia Lamada,this time akajitutumua na kumwita mpnzi wake walale wote mana kesho yake waamke wote wafanye mchakato wa kwenda makanisani na vitu vingine.according to jamaa anadai demu alikuwa na mshawasha wa jabu sana an hamu kubwa ya kufanya mapenzi na jamaa kana kwamba ahajawahi kufanya kitu hicho tokea azaliwe.basi wakanywa wanywavyo na kula walivyoweza,usiku wa majamboz ukafika,wakaanza process zao zote kama nyie mnavyofanyaga lakini tatizo ndo hapo likaanza onekana,kila jamaa akiingiza akipinga up and dwn movement 5 tu wazungu wanakuja afu analala kama nusu saa hv,akipanda tena up na d dwn movement 5 wzungu wanakuja tena thn anashuka,alifanya hivyo kama mara kumi kwa usiku huo bila kujua anamchafua tu dada wa watu.
  ilipojiri asubuhi kwa mbwembwe nyingi akaanza kujisifia kuwa kapiga kumi sio mchezo kuwa yeye ni noma bila kujua mwenzake ana lindi la mawazo kichwani.siku ya kwanza mwana mke akavumilia,usiku uliofata mambo yakawa ni yale yale ya bao kumi na kujisifia,mwanamke wa watu akaona sio inshu bora kumchana jamaa,kwa upole akamuuliza ni vp?ana matatizo gani kichwani au ana stress gani mbona ana mchafua kama kuku?jamaa aka panic kweli kwa hasira na kufoka kweli,mwanamke akamshauri aende hospitali kupata ushauri,jamaa akaenda akapewa majibu kuwa yupo poa bt atulize akili tu na kuwa na ujanja na wanawake.
  Demu akaamua kusitisha ndoa kwanza afanye uchunguzi kwa wiki nzima kama kutakuwa na improvement yoyote,badala yake siku zifatazo jamaa akawa akimaliza shida zake anapitiwa na usingizi juu ya kifua cha mwanamke.hivi navyoongea dem hataki tena ndoa na jamaa yupo kachanganyikiwa hajui lakufanya kabisa..
  Kama wanajamii wenzangu naombeni tusaidiane kumshauri huyu jamaa.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhhh hatari kuliko.
  heri uolewe na maskinpuuuuuu lakin ANAPUMZI PLUS MAKUNO HEVI MUKITANDA... kuliko kuwa na mtu anayeharisha harisha sha.ha.wa km uyo....


  aikubali kufunga ndoa na wa sampo io cz kutoka nje apo garantee cz autaweza daily utiwe hamu tu wakat kumalizia hajui.awez.

  ampe mda wa kujipanga .kujitune fresh..IKISHNDIKANA MWAYA CHAPA LAPA....hakuna kitu kibaya dubian km kuwa na ndoa mbili...moja ya mmeo ndani wa ndoa..na nyingne ile ya nje..yule special wa kukukuna tu...AKIMBIE.LASIVYO AKUBALI KUWA 1DAY ATAMCHETA MUMEWE WAKAT KITU ICHO SI KIZURI.MUNGU APEND
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Haya sasa_ujanja kuwahi mkuu,...kuna umuhimu mkubwa wa kufanya haya mambo(tena na wanawake wengi) kabla ya uamuzi wa kuoa,.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  umesoma post?
  anayelalamika apa ni mdada...kwamba mkaka ajui mambo ..pushap mbili anakojoa analala juu ya kifua..dada analalamika ahh uyu ananichafua tu anaifikish...anataka kumwacha....

  we daily unajua wakaka ndo wanalalamika kwamba demu namna gan vp?
  ahh leo ni MKAKA KALALADOLO.AJUI MAMBO

  so ni kweli wadada inabd mpige karesearch kdg,...wanaume wa siku iz weng wao ni wanaume suruali...bt nt IGWE hah hahah hahhha...shuguli nehiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..wanaharisha tu kitandani....hahh hahaha hah raha jaman...daily tuchambwe sie tu...ndo ivo sasa mwanaume mwenzenu KAZI HAKUNA...semen bas tuwasikie...manake angekuwa mdada ndo kasemwa apa weee post sasa ivi ingekuwa page ya 46..

  sjajiandaaa kwa bfu jaman...me lov ol u kakaz!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  da Rose1980_naomba nikuoe kama uko single and available,maake mimi nabrash na kushona viatu hapa stand(yaani sina kitu ila nayaweza kweli kweli),...ila kila ninapo taka mahusiano na ninayempenda anasema eti hapendwi mtu ni pesa tu,.....sasa naona wewe kidogo una mtazamo unao ni_favour,....think about it plz
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  \
  kwa hiyo_unataka kuwaambia wawe wanatest kwa ku do na wanaume wangapi mpaka ndoa labda(hapa nadhani watu watakupiga mawe),...wanaume suruali ndio nini maake nafikiri unamaanisha wadada wanao vaa suruali ama?.....sio issue_suala ni kwamba huyo kaka aliyeshindwa shughuli mwambie aache kula chips mayai...then ataona matokeo
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  m ready...set tarehe ya kwenda kwa paroko..

  shela ntaazima kwa faiza fox...shela rangi ya kijani...na nkonkoko za njano....
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Nawe mkali wa hayamambo eeh.....!
   
 9. h

  hayaka JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni bora huyo mdada amechukua uamuzi wa kumtema jamaa! coz kuishi kwenye ndoa na mtu wa kukupiga mhuri kila day haiwezekani, maana wakishaoona hakuna njia lazima demu atacheat, ni vyema waachane mapema, Na huyo jamaa atajifunza so next time akipata mwingine atabadilika.
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ni mkali_ila kanikubali mm,hivyo wewe mwache.....
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  we wasema.
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  umejibu vyema.
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ebu jitaid kuweka maneno yako kwenye premises mbili na conclusion moja ...LABDA NTAKUSOMA KDG....lakin kwa ulichokiandika andika apo juu sjakusoma...na sijisikiii kukujibu jibu litakalokuzid umri...i wan b fair wth u...IPANGUE TENA PARAGRAPH YAKOO..THEN IPANGE UPYA...sawasawa swt hat?

  hp umenipata.
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya kuoana bila kujuana mie nayapinga sana...wanagefanya mechi za majaribio wasingefikia hapo...
   
 15. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmh ! lakini kweli wanaume wengine wanapenda kujisifu kua hodari wa michezo lakini kitandani hamna kitu,sasa huyo bwana anaemlali mwenzie nakupata usingizi kabisa kamfanya dada wawatu godoro la Dodoma?bora alivyo kata mapema angekuli angekua anahesabu boriti za nyumba mwenzie anakoroma,tena watu kama hao wanakelele kama wanatolewa roho ukiwakuta kwenye sita kwa sita mpaka kero....
   
 16. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh!! nahisi kama mmefanya mapema mno kuamua kuoana kabla hamjajuana vizuri! pole bwana harusi mtarajiwa hilo ni tatizo kwa mwanamke kuchafuliwa chafuliwa tu ni bora ashinde njaa kuliko kumchafua ukamuacha!!
   
 17. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Da rose 1980 upo......... umeiona hiyo eeh?
  kwa ufupi jamaa hawezi hata aende cz kunako sayari kazi bure
  dada achape rapa tu hamna cha ziada.
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  si linaitwa tendo la ndoa jamani sasa walifanyafanyeje tena? loh
   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  haya sasa,...na wewe pia unataka kunikimbia
   
 20. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Ndo maana wa2 wanaonjana kabla ya ndoa japo hairuhusiwi
  ndo hayohayo unachumbiwa na m2 anakwambia mapenzi mpaka tufunge ndoa kumbe jamaa jogoo wake hawiki.
   
Loading...