Malipo stahiki muajiri akivunja mkataba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo stahiki muajiri akivunja mkataba

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kopuko, Oct 26, 2011.

 1. kopuko

  kopuko Senior Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  habari wana JF,tafadhali ningependa kusaidiwa kujua malipo stahiki ya mtu kama muajiri amevunja mkataba,mfano halisi,muajili ame mterminate mwajiriwa kazi ambaye alikuwa akifanya kazi kwa mkataba wa mwaka mwaka bt renewable,je mwajiriwa anapaswa pata stahiki zipi?,,,,nauliza hv mana sample yangu imeambiwa italipwa mshahara wa miezi 3,siku za likizo zilizobaki na nssf alafu basi,,,tafadhali naomba kusaidiwa
   
 2. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ili kujibu swali lako inabidi ueleze sababu ya 'termination' maana kama muda wa mkataba ulikuwa bado hiyo ni 'premature termination' na malipo yake ni makubwa sana
   
 3. kopuko

  kopuko Senior Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  katika rules and regulation za sample hakuwa ana ruhusiwa ku access internet kazini,but it wasnt her fault by default siku hiyo aka open internet ikapatikana,akawa terminated,hapo stahiki zake ni zipi
   
 4. d

  daisy Senior Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kama hajawahi kupewa onyo na hilo ni kosa la kwanza, na hakufanyiwa disciplinary hearing kabla ya termination hiyo ni unfair termination mwambie aichallenge atafute zilipo ofisi za Commission for mediation and arbitration of Employment Disputes. Ana haki nyingi sana
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,450
  Trophy Points: 280
  Mwajiri akivunja mkataba ambao ni fixed lakini renewable, stahili zako ni
  1. Kama ameuvunja bila kosa lolote, displinable, then, mwajiri atakulipa mshahara wako wa mwenzi mmoja, pamoja na full gratuity ambayo iko kwenye mkataba kama angemaliza mwaka mmoja kazini.
  2. Mkataba ukivunjwa kwa kosa displinary, kosa hilo, limeorodheshwa miongoni mwa makosa ambayo ukukiktwa nayo unafukuzwa. Kama ni kampuni ya foreign, wana kitu wanaita information protection ambayo alipoajiriwa lazima alisainishwa ikieleza ukiiuka hiyo imformation protection, ni kufukuzwa bila mjadala. If that is the case, then, mwajiri anakulipa mshahara wako wa mwezi mmoja na kukulipa gratuity ya ile miezi uliofanya kazi.

  Kama kampuni ni ya wazungu, kila kitu kiko kwenye mkataba, kama ni ya wahindi, kuna mikataba ya kibwege *****, unaweza kukuta mtu anafanya kazi ya fixed contract, halipwi gratuity kwa kisingizio wanamkata NSSF, na ukienda NSSF unakuta hauna sentano, ukiuscutinise vizuri mkataba, unajikuta kumbe ulikuwa ni kibarua unalipwa kwa masaa, hivyo huna gratuity, wala NSSF na siku ukiachishwa/kufukuzwa, unalipwa mshahara za zile siku tuu ulizofanya kazi na biashara inaisha!.

  Watanzania wengi sana wanadhulumiwa haki zao, kwa kutojua haki zao ni nini!.
   
Loading...