Wizi wa makato ya ppf

kopuko

Senior Member
Oct 24, 2011
180
58
habari wadau,

ningependa kupata ushauri wa kisheria ni wapi pa kuanzia endapo nitagundua mwajiri wangu ananikata PPF/NSSF 20% yote kwenye mshahara wangu badala nusu kwa nusu kama tulivyokubaliana kwenye mkataba?

wapi kwa kuanzia?fidia gani mtu anaweza kupata?

Natanguliza shukrani!
 
Haitatokea Mwajiri akukate asilimia zote wewe. Kinachoweza kutokea iwapo Mfuko husika haufanyi ukaguzi wa mara kwa mara ni Mwajiri kuchelewa kuwasilisha au kutowasilisha makato ya michango kwa sababu ama za ukata na/au shughuli kusimama. Wewe mwenyewe unatakiwa kufuatilia mara unapopokea mshahara wako pamoja na salary slip yako ikionesha makato ya mchango wako. Mfuko ukimgundua Mwajiri anafanya jambo kama hilo unamfikisha Mahakamani.

imwan
 
Waone ma-advocate tu to make life easier!
 
nina uhakika asilima mia
mwajiri anamkata asilia 20%
nipe ushauri wa kisheria mana hilo nina uhakika nalo
 
Back
Top Bottom