Kuedit thread kwa member wengine hawana permission hiyo labda kwa premium Member (platinum member).
Labda unacho zungumzia ni kuwa umeandika thread kwa namna yako kisha Mods wanaedit ila Baada ya wewe kuandika thread na kupost huwezi edit.
Kama ilitokea hiyo kwako itakuwa kwenye settings zao...
Ingia kwenye App ya Facebook kupitia settings za simu yako kisha futa akiba zote na uilazimishe app ikome.
Baada ya hapo ifute kabisa app yako kisha install mpya na kisha register account mpya au jaribu kulogin kwa account yako ya zamani.
JF wapo sahihi kwa upande mwingine kutoweka uwezo wa member kuedit thread na hata kufuta kabisa.
Hii ni sababu leo unaweza andika uzi wenye maana fulani ila kwa sababu ya baadhi ya Members kutoa negative review unaweza chukua maamuzi ya kuedit thread kisha kuedit Mada husika na uzi kutokuwa na...
Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa.
Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
Anzisha Platform ya kuuliza na kujibu maswala.
Yaani hapo wanafunzi wanauliza walimu wanajibu, pia inakuwa automatically ina leta majibu kwa maswali yaliyo wahi kuulizwa au kujibiwa hapo inaweza kuwa kimbilio kwa Wanafunzi hasa wanachuo.
Ingia kwenye dashboard ya channel yako >>> kisha ingia kwenye video zote ulizo upload >>> ibonyeze video husika kutakuja options mbili Edit na delete.
Wewe chagua delete itauliza delete permanently or save to draft, wewe delete permanently.
Pia unaweza Tumia YouTube Studio kama unayo kupitia...
Dizasta Vina njoo utueleze wewe ni nani.
Ila kwenye story telling Dizasta ni moto kuna mangoma yake ya Hatia 1,2,3 na 4 pamoja na kikaoni, ndoano, na freestyle mbalimbali jamaa ni mnoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.