Search results

  1. TWIZAMALLYA

    Redbregade ya CHADEMA~Kibonde wa Clouds Fm kweli ni kibonde

    Nilikuwa nasikiliza Jahazi sasa hivi,yeye na Musa wanajadili issue ya redbregade.Musa ana arguments nzuri sana kuwa ni bora serikali ikakaa na chadema wakajadili kuhusiana na hili kwani vitisho havikuwahi kusaidia.Kibonde yeye anapongeza matamko hayo
  2. TWIZAMALLYA

    Sumatra mko 'biased'

    Ongezeko la nauli lililotangazwa hivi karibuni na SUMATRA inaonyesha ni jinsi gani hawa watu walivyonunuliwa na wafanyabiashara.Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa mimi binafsi sikutegemea kama hawa watu watakuja na move hiyo. vipato vya raia wengi viko duni sana,tumeshuhudia waalimu wakidai...
  3. TWIZAMALLYA

    Hongera JJ Mnyika, leo JK anazindua daraja la Golani

    Lile daraja lililomshinda Keenja kwa miaka yote ya ubunge wake na aliopoingia tu mpambanaji Mnyika na peoples power kwa ujumla,akafanikisha kuwabana watendaji wabovu wa manispaa ya kinondoni kwa kufanikisha ujenzi wa DARAJA hilo,leo linafunguliwa rasmi na Mkuu wa nchi.Hongera sana Mnyika.
  4. TWIZAMALLYA

    Wa Mkwawa complex tujikumbukishe artist corner na kamjingijingi

    Wadau wa mkwawa mnaikumbuka ARTIST CORNER?.Lol ilikuwa very interesting kwani wana ART walikuwa wanawasilisha hisia zao hapo kwa kutoa mashairi na michoro ya katuni yenye ujumbe mzuri kabisa.Kuna cartoonist mmoja aliyekuwa anajiita KAMJINGIJINGI.Yule ilikuwa hakuna tukio lolote baya au zuri...
  5. TWIZAMALLYA

    Huyu mwigulu nchemba vipi?

    Nimesikiliza Bunge jana na kumsikiliza mwigulu akijaribu kuchallenge hotuba ya kambi ya upinzani hasa pale aliposema inawadhalilisha waalimu na wahadhiri kwa kusema waalimu wanafanya biashara wakati wa kazi na wahadhiri wanafundisha vyuo zaidi ya vile walivyoajiriwa.Mwigulu anauita huu ni...
  6. TWIZAMALLYA

    Kazi zingine hizo tume ya ajira

    Kwenu wadau
  7. TWIZAMALLYA

    Ajira tume ya ajira

    Wadau mnaohitaji kazi hizo zimemwagwa na serikali yenu sikivu.
  8. TWIZAMALLYA

    Deo filikunjombe amethubutu hakika anasonga mbele

    Huyu jamaa hakika ni machine ndani ya CCM kwani amedhihirisha hilo bungeni.Bila woga wowote amesimamia ukweli kwa kutaja waziwazi majina ya mawaziri ambao anawaita ni mchwa kwa kutafuna fedha za umma.Hili ni jambo la kishujaa sana ambalo linapaswa kupongezwa na kuigwa na wabunge wote wa...
  9. TWIZAMALLYA

    Milya alikuwa mzigo kwetu - ccm

    Nimesikia uchambuzi wa magazeti asubuhi ya leo kupitia MAGIC FM,gazeti la uhuru wameandika kuwa Milya alikuwa ni mzigo kwa ccm na kwamba alikuwa ni mmoja wa magamba yaliyokuwa yanategemewa kujivua.Kama Milya alikuwa ni mtu wa karibu sana na Mheshimiwa Lowasa mpaka akawa anajulikana kama mtu wa...
  10. TWIZAMALLYA

    Je umekumbana na adha gani tishio la tsunami?

    Binafsi nilitoka city centre saa kumi nikapitia baharini maana nilipata taarifa kuwa ndiyo njia pekee iliyokuwa afadhali kwani ilikuwa inatembea kidogo.kufika maeneo ya Aghakhani njia ikawa haiendi kabisa mpaka saa moja inafika niko mitaa ya courtyard,nikajua ndo mwisho wangu lakini sikukimbia gari.
  11. TWIZAMALLYA

    Weekend hiyo jamani

    Hii ni weekend moja nzuri sana kwani imeangukia tarehe nzuri kwa wafanyakazi wote. Nawatakia kila la heri,ila jamani maeneo kama buguruni KIMBOKA si maeneo mazuri kutembelea.
  12. TWIZAMALLYA

    Manu hatushikiki

    Jana MAN ilishinda 2-1 dhidi ya Fulham,hii ni byby mancity.
  13. TWIZAMALLYA

    Mahindi ya msaada arumeru mashariki

    Wanajamiiforums nimesikia kuwa serikali imepeleka mahindi ya msaada Arumeru Mashariki.Swali najiuliza kama kweli kuna haja kihivyo kupeleka msaada Arumeru Mashariki, kwa nini wakati huu wa uchaguzi?.Je serikali imeshindwa vipi kuchelewesha kidogo kupeleka mahindi Arumeru mashariki mpaka uchaguzi...
  14. TWIZAMALLYA

    Adui muombee njaa,leo mancity hatoki kwa stokecity

    Ligi imefika patamu sasa,sisi Manu tunachekelea tu kwani mechi zetu zilizobaki ni nyepesi ukilinganisha na jirani zetu.Leo wana kibarua kigumu kwa stoke.
  15. TWIZAMALLYA

    Mwangaluka

    Nawasalimia wote wana jamiiforums
  16. TWIZAMALLYA

    We believe in manchester united

    Pamoja na manchester city kushinda jana tunaimani kubwa na ubingwa wa EPL kwetu sisi Manu.Na itakuwa vizuri sana kama mechi ya mancity na Manu iamue bingwa.
  17. TWIZAMALLYA

    Katiba mpya-kusiwe na 'presidential appointees'

    Hawa watu wanakuwaga ni tatizo sana. na huwa wanakuwa jeuri mno kwa mamlaka zingine za nchi ila tu wanakuwa watiifu kwa aliyewachagua
  18. TWIZAMALLYA

    Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

    Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo. Ulanzi kwa sana siku za Disco.Mnakumbuka hiyo? Mnamkumbuka Chuwa mpishi?
  19. TWIZAMALLYA

    Hivi huyu mheshimiwa shibuda anafaa chadema?

    Chaguzi mbalimbali zinaendelea hapa nchini,kuna uchaguzi wa ubunge Arumeru na uchaguzi wa udiwani huko Mwanza.Wapiganaji mahiri wa Chadema wanazunguka maeneo hayo lakini mtu huyu wala hasikiki popote kusaidia kampeni za chaguzi hizi.Hivi kuna tatizo gani hapa naomba mwenye data azimwage hapa.
  20. TWIZAMALLYA

    Hawa TANESCO vipi?

    Imekuwa ni kawaida kwa TANESCO kutoa tamko pale ambapo kunakuwa na kukatika kwa UMEME.Ni muda sasa kumekuwepo na kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi, nimejaribu kufuatilia ni nini tatizo sijapata.Wadau mwenye habari ya kwa nini umeme unakatika kila siku hasa mida ya jioni mpaka usiku wa...
Back
Top Bottom