Redbregade ya CHADEMA~Kibonde wa Clouds Fm kweli ni kibonde

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Nilikuwa nasikiliza Jahazi sasa hivi,yeye na Musa wanajadili issue ya redbregade.Musa ana arguments nzuri sana kuwa ni bora serikali ikakaa na chadema wakajadili kuhusiana na hili kwani vitisho havikuwahi kusaidia.Kibonde yeye anapongeza matamko hayo
 
Hii radio radio si ndo ile ilipigwa fine kwa kuhamasisha sijui kuushabikia ushoga? Kwanini bado mnawasikiliza promoters wa ushoga?
 
Kwani ukuu wa wilaya wanaupataje hawa wanahabari.... Labda kibonde anaona ndio njia ya kumtoa hiyo
 
Kibonde siku zote huwa anafikiria na ma.sa.bu.ri kabla ya vitu vyote. Unashangaa kuona nyau akifukuza panya?
 
Mwacheni aropoke, si amesikia kuna mkoa mpya unakuja, hivyo anavizia ukuu wa wilaya kwa mara nyingine
 
Regardless of what he has said today,afterall cjamsikiliza,ila ni kawaida yake kuongea pumba na kupenda :embarrassed1:kujipendekeza.
 
Yale matokeo yake yaliyobandikwa pale udsm ndo yanafanya kazi. What else did u expect?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Huyu bwana aliwahi kubwatuka wakati UDSM tunaandamana kudai nyongeza ya boom..Alitughadhabisha nusura tumchomee nyumba yake pale mabibo hostel akaomba msamaha.....huyu hana lolote na o-level aliambulia D mbili tu ya Civics na Kiswahili..Maccm yote ndo yalivyo kesho ndo hao akina Mulugo na Mlungo wengine..tupa kule ptuuuuuuuuuuuu
 
huyu jamaa nahisi ni ushamba wa media , kuwa somebody ataniona ni bora wakati yuko pale ku balance information na huyu mwenye radio kwa nini hicho kipindi (JAHAZI), wasifanye kama jamiiforum watu ndiyo watume maoni yao kuliko wao ndiyo wachangiaji na watoa hukumu.
 
Huyu bwana aliwahi kubwatuka wakati UDSM tunaandamana kudai nyongeza ya boom..Alitughadhabisha nusura tumchomee nyumba yake pale mabibo hostel akaomba msamaha.....huyu hana lolote na o-level aliambulia D mbili tu ya Civics na Kiswahili..Maccm yote ndo yalivyo kesho ndo hao akina Mulugo na Mlungo wengine..tupa kule ptuuuuuuuuuuuu

Kibonde ni zaidi ya taKaTAka.kwa hiyo masomo mengine aliambulia FUBU?
 
Mwanzoni nilikuwa namsikiliza sana Kibonde na kumuona mtu wa maana sana hasa ukisikia baadhi ya mambo ya msingi akiyajadili.Ila sasa nimegundua ni bendera tu na si mtu anaejitambua kiukweli.
 
Back
Top Bottom