TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
Ongezeko la nauli lililotangazwa hivi karibuni na SUMATRA inaonyesha ni jinsi gani hawa watu walivyonunuliwa na wafanyabiashara.Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa mimi binafsi sikutegemea kama hawa watu watakuja na move hiyo.
vipato vya raia wengi viko duni sana,tumeshuhudia waalimu wakidai nyongeza ya mishahara yao lakini bahati mbaya walibezwa tu nao wakaja na staili ya mgomo baridi ambayo madhara yake kila mtu mwenye macho ameyaona,ni matokeo ya Kawambwa.
Funny thing hawa watu walio kwenye hali mbaya wanaongezewa matatizo tena. Kwa kusema kweli mimi sijawahi kuona kitu chochote cha maana ambacho SUMATRA wamefanya kuwalinda watumioaji wa vyombo vya usafiri.Moja ya kero kubwa sana ambayo wao wana'ignore' ni daladala kukatisha Route zake.
Mfano ukiwa posta mpya unaenda mbezi ya Kimara huwezi kupata daladala ya kwenda huko,sanasana utapata gari ya Ubungo kuzungukia feri,ukifika Ubungo utapata gari ya Kimara,na ukifika kimara unapata gari ya kwa Msuguri,ukifika kwa msuguri unapata gari Mbezi.Haya yanafanyika na Sumatra wako maofisini wamekaa tu.
Kwa vile nchi hii imejaa ufisadi kila kona maamuzi kama ya sumatra yataendelea kutolewa.Kwa kupandisha kwenu hizo Nauli angalieni mfano huo juu muone mtu wa kima cha chini atawezaje kumudu hizo gharama mlizombebesha.